Jioni hii nimeshuhudia wabunge wawili wa magamba wakimpa salute Tundu Lissu kwa umahiri wake..
Kaanza Sendeka: "kwa moyo wa dhati kabisa natambua upeo wako mkubwa, uwezo wako wa kuchambua sheria.. unastahili pongezi"
Lukuvi: "Nampongeza sana Tundu Lissu kwa uwezo wake kisheria. Haya mambo ni mengi lakini ameweza kuyachambua vizuri"
My take: Sifa zikiwa nyingi huwa si nzuri sana, je ataendelea kuperform as expected?
hizi mada zingine sasa hapa tujadili nini

uwezo wa Tundu Lissu compare na waziri wenu wa katiba na sheria SELINA KOMBANIhizi mada zingine sasa hapa tujadili nini
hizi mada zingine sasa hapa tujadili nini
Mnyonge mnyongeeni haki yake mpeni
Jioni hii nimeshuhudia wabunge wawili wa magamba wakimpa salute Tundu Lissu kwa umahiri wake..
Kaanza Sendeka: "kwa moyo wa dhati kabisa natambua upeo wako mkubwa, uwezo wako wa kuchambua sheria.. unastahili pongezi"
Lukuvi: "Nampongeza sana Tundu Lissu kwa uwezo wake kisheria. Haya mambo ni mengi lakini ameweza kuyachambua vizuri"
My take: Sifa zikiwa nyingi huwa si nzuri sana, je ataendelea kuperform as expected?
Unamfananisha na Wasira? Muulize Makinda na JK shughuli ya huyu jamaaHuyu jamaa mbona mchemfu sana kule bungeni wanamwita ' MCHICHA MWIBA' mwisho wa kunukuu
Ukiona mtu anasifiwa hivyo ujue anapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa, AMELIWA AISEE !