sendeka naye nimnafiki tu, siku ile alisema tl hajuwi sheria na aje kwetu tumfundishe sheria, leo tena amemsifia! lakini hii yote ni baada ya kuelezwa na mkuu wa kaya kuhusu ile ziara ya cdm pale ikulu, wakubali wakatae lile ni jembe tu.
Freeman Mbowe ni kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni, mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa kwa wananchi, aliyejizolea umaarufu kupitia kauli yake ya kilio cha umasikini huku akiweka mikono yake kichwani kama ishara ya kulia.
Na hii inatokana na kile kinachoonekana kwake kwamba watanzania wengi wanataabika kutokana na kunyonywa na kudhulumiwa haki zao na mabepari ambao siku zote wao ndio wanaotaka kufanikiwa kwa kuwafanya wanyonge kama daraja lao kuelekea kwenye maisha bora.
Kauli hii imegeuka kwake kama mtu anayeona kibanzi kwenye jicho la mwenzake wakati yeye jichoni kwake kuna boriti. Kiongozi huyu imekuwa kawaida kwake kuwapunja mishahara wafanyakazi wake wa kampuni ya Freemedia inayochapisha gazeti la Tanzania Daima na Sayari, kwani kwa habari za uhakika nilizonazo ni kwamba tangu mwaka 2004 gazeti la Tanzania lilipoanza kima cha malipo katika kampuni hiyo kimekuwa ni kile kile pasina kujali kwamba gharama za maisha zimepanda na malipo wanayotoa hayaendani na wakati tulionao.
Pamoja na hali ya kuwapunja wafanyakazi wake mishahara na kutowalipa kwa wakati lakini bado mwanasiasa huyu machachari anadiriki kupanda jukwaani na kutamba kwamba anataka kulikomboa taifa.
Je ataweza kulikomboa taifa lenye watu zaidi ya Mil. 45 wakati anashindwa kuwamudu wafanyakazi wake ambao hawazidi hata mia? Cha msingi ni kuacha propanda, akomboe wafanyakazi wake kwanza kisha ndio ajinadi kutaka kuwamboa watanzania wote!
Jioni hii nimeshuhudia wabunge wawili wa magamba wakimpa salute Tundu Lissu kwa umahiri wake..
Kaanza Sendeka: "kwa moyo wa dhati kabisa natambua upeo wako mkubwa, uwezo wako wa kuchambua sheria.. unastahili pongezi"
Lukuvi: "Nampongeza sana Tundu Lissu kwa uwezo wake kisheria. Haya mambo ni mengi lakini ameweza kuyachambua vizuri"
My take: Sifa zikiwa nyingi huwa si nzuri sana, je ataendelea kuperform as expected?
Freeman Mbowe ni kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni, mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa kwa wananchi, aliyejizolea umaarufu kupitia kauli yake ya kilio cha umasikini huku akiweka mikono yake kichwani kama ishara ya kulia.
Na hii inatokana na kile kinachoonekana kwake kwamba watanzania wengi wanataabika kutokana na kunyonywa na kudhulumiwa haki zao na mabepari ambao siku zote wao ndio wanaotaka kufanikiwa kwa kuwafanya wanyonge kama daraja lao kuelekea kwenye maisha bora.
Kauli hii imegeuka kwake kama mtu anayeona kibanzi kwenye jicho la mwenzake wakati yeye jichoni kwake kuna boriti. Kiongozi huyu imekuwa kawaida kwake kuwapunja mishahara wafanyakazi wake wa kampuni ya Freemedia inayochapisha gazeti la Tanzania Daima na Sayari, kwani kwa habari za uhakika nilizonazo ni kwamba tangu mwaka 2004 gazeti la Tanzania lilipoanza kima cha malipo katika kampuni hiyo kimekuwa ni kile kile pasina kujali kwamba gharama za maisha zimepanda na malipo wanayotoa hayaendani na wakati tulionao.
Pamoja na hali ya kuwapunja wafanyakazi wake mishahara na kutowalipa kwa wakati lakini bado mwanasiasa huyu machachari anadiriki kupanda jukwaani na kutamba kwamba anataka kulikomboa taifa.
Je ataweza kulikomboa taifa lenye watu zaidi ya Mil. 45 wakati anashindwa kuwamudu wafanyakazi wake ambao hawazidi hata mia? Cha msingi ni kuacha propanda, akomboe wafanyakazi wake kwanza kisha ndio ajinadi kutaka kuwamboa watanzania wote!
Kuna nini ccm wanataka kwa DC?