Bungeni: Muswada wa Katiba Unajadiliwa!

Bungeni: Muswada wa Katiba Unajadiliwa!

Mwanasheria Mkuu wa Serikali anakwepa kutoa mwongozo wa maana, anashauri wabunge wakubali DEDs wapewe wajibu huo kama ilivyo kwenye mswada.
 
Mwanasheria Mkuu anadai ama DCs na DEDs wawepo wote TUME iamue au abaki mmoja.
 
Afadhali tumepata jina jipya la kuwaita MAGAMBA baada ya kulazimishwa na RAIS WAO kulamba matapishi yao wenyewe!!! Wametia aibu sana. Sasa sijui watakwenda kusema nini majimboni mwao coz walishaanza kuzunguka nchi nzima kuusifia MUSWADA WA MABADILIKO YA KATIBA walioupitisha *November 2011.
kulingana na ukinzani wa chinichini ndani ya bunge sasa hivi,kuhusiana na kipengele cha mabadilko ya rasimu ya katiba,ameyasema hayo bungeni sasa hivi wakati aliposimama kutoa mchango wake.namnukuu,
"Huku nje ni kijani,na kwa ndani ni wekundu" tafsiri yangu (wako ccm lakini lakini wana upinzani ndani kwa ndani dhidi ya mwenyekiti wao.)
Source tbc bungeni sasa hivi.
 
Spika anataka kurejesha kwenye kamati kifungu kuhusu uwepo wa DCs na DEDs kwenye mchakato.
 
Mjadala wa mabadiliko ya Katiba...Yaani wabunge 4 tu ndio wako active kati yao 50% ni wa CHADEMA, ina maana hawa wa magamba hawaelewi kinachoendea au? wanasubiri tu kusema ndioooooooooooo.....
Kaaaaazi kweli kweli

ha ha ha!
 
huyu Machali baada ya kumsikiliza nimegundua kumbe chadema hawana wabunge walioiva, mbunge anazungumza kama yuko kwenye kikao cha wanachadema wakizungumza kishabiki, badala ya hoja, kashikilia uasi kutokubaliana na mapendekezo ya serikali.bunge si muhuri wa serikali wao wamepelekewa mswaada waujadili na waangalie kama kuna la kuzidisha wazidishe la kuondoa waondoe hio ndio kazi ya bunge. sasa kushinikiza wakubali kama ilivyo. ina maana gani kujadili? huyu jamaa bure kabisa. alau kidogo Mzee Arif ameongea kilogic unaweza kuhisi nn anakusudia kuzungumza
Kwani Machali ni mbunge wa CHADEMA? Jaribu kuchangia unachokifahamu.
 
kulingana na ukinzani wa chinichini ndani ya bunge sasa hivi,kuhusiana na kipengele cha mabadilko ya rasimu ya katiba,ameyasema hayo bungeni sasa hivi wakati aliposimama kutoa mchango wake.namnukuu,
"Huku nje ni kijani,na kwa ndani ni wekundu" tafsiri yangu (wako ccm lakini wana upinzani ndani kwa ndani dhidi ya mwenyekiti wao.)
Source tbc bungeni sasa hivi.

ebwana mkuu yani jamaa kanifurahisha sana. Ni kweli kabisa
 
Tusubiri watapitisha yupi.

Ma DC wataharibu kabisa mchakato. Kilango anachanganya courtesy call na uendeshaji wa mambo. Wana Tume wanaweza na wanapaswa ku-pay courtesy call kwa DCs lakini si sahihi kuandaliwa mikutano na hamasa na DCs, HAPANA!
 
Ma DC wataharibu kabisa mchakato. Kilango anachanganya courtesy call na uendeshaji wa mambo. Wana Tume wanaweza na wanapaswa ku-pay courtesy call kwa DCs lakini si sahihi kuandaliwa mikutano na hamasa na DCs, HAPANA!
Ungetuelewesha DED anaingiaje kwenye siasa?
 
Back
Top Bottom