Bitabo
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 1,900
- 690
Ukisema hivyo unakosea, mbona cdm walimkimbia na kumkataa mkuu wa nchi lakini wao tena wakamuomba na kumfuata mjengoni kwake ili apitishe wanachokitaka, kile kilipitishwa for kulikuwa hakuna kingine jamaa c walikimbia nacho, kumbe wangepitisha nn, lisu acha ajadiliwe sababu aliongea alichokuwa hakijui, mnyika na kabwe hawakuunga mkono kukimbia bunge ila ww uliona ni sahihi sa umegundua na ww ulikosea kuunga mkono ule mtimko wa bungeni?
hapo kwenye red umechemka mzee. Labda kipindi hicho ulikuwa kijijini ambapo inaonekana TBC tu na ukasikiliza radio uhuru. Ngoja nikusaidie. CHADEMA hawajawahi kusema kuwa huwamtambui JK kama raisi wa JMT. Walichokataa ni mfumo mbovu wa NEC uliomfacha JK ashinde. una tofauti ya kumkataa mtu na kuukataa mfumo uliomuweka hadharani. na kumbuka kuwa kwa sheria zetu, Rais akishatangazwa na NEC hawezi kupingwa popote kisheria.