Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,404
- 100,603
Mmmmh turudi tena mezani kwa mazungumzo
Mi sikuyajua haya ya kuongezwa kwa wajumbe kinyume cha taratibu, mama wa watu anachekacheka tu
SASA YATAMTOKEA PUANI!ikumbe mama makinda aliingilia mchakato wa muswada wa katiba kuzuia tume kuzunguka mikoani kuongezea watu watano kinyume na sheria
HADITHI inayokuja ni ya sungura sikia, hadithi uliyongoja leo ninakuletea
Alitoka siku moja njaa aliposikia, njaa aliposikia, sungura nakuambia
Siku hiyo akaenda porini kutembelea, akayaona matunda mtini yameenea
Sungura karuka ruka lakini hakufikia, lakini hakufikia sungura nakuambia
Sizitaki mbichi hizi sungura aligumia, naona nafanya kazi bila faida kujua
![]()
Msemaji wa kambi ya upinzani bungeni (Tundu Lissu) anachanachana mapendekezo yaliyowasiliswa na serikali na kamati muda huu (TBC1) kazi ipo!!
khaaaa huyu tundu lissu hatari.yaani wabunge wamejikunyata kama wamefiwa
Nchi hii ina laana