Maishamapya
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,279
- 375
Sasa na nyie wapinzani wa FF na genge lake, mnaleta hayohayo ya kwao ila kwa upande mwingine.
Lisu kuchanachana ndiyo nini? Mnamsifia na kumsifia bila kuandika alichosema? Wengine hatuna TV huku shamba.
Mngelifanya jambo la maana hayo maoni yanu muyaweke baadaye ila kwa sasa mtupakulie tu kile kinasemwa.
Asanteni hata hivyo kwa hayo mnayoandika ingawa tungelipenda zaidi.
Mkuu Sikonge, sio rahisi. Jamaa anachana kwa spidi ya light. ndo maana mimi nimeamua nimskilize tu.