Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,405
- 100,600
Duh! Hili bunge la watu gani hata sijui
Ninajua kila mtu ana haki ya kuongea ,lakini ukweli ni kwamba ushabiki usio na mantiki utaliangamiza hili taifa,hivi jkila kitu maandamano,kila kitu maandamano,nipeni sababu kuu za msingi as to why the bill should not be read for the second time,haiwezekani mawazo ya mtu au kikundi cha watu kiiyumbishe serikali ya JK,jana kwa aliyeangalia kile kipindi cha mjadala wa katiba,utagundua upuuzi mtupu,ni kweli watu wanaongea kutoa hisia lakini wengi walipangwa waseme nini,tusidanganyane hapa,hakuna mtu mwenye haki zaidi ya mwenzake kwenye hili taifa,msitaki kumtisha Rais hapa,kama mna hoja embu itisheni maandamano na natoa wito polisi waziyazuie tuone idadai ya wataka waunga mkono,kila kitu maandamano,wengine kazi hawafanyi utasikia maandamano,Upuuzi mtupu
Hivi huyu mdada (msemaji wa kamati ya katiba) anayesoma hotuba kwa kujiamini namna hii ni nani? Naomba jina lake na chama
sasa ni zamu ya kichwa chenye akili Tundu Lisu
Feizafox, MS, rtz na the like wako wapi kwenye huu mswada? Mbona hawachangii??!
Spika Anna makinda amelinanga jukwa la katiba kwa madai kuwa limewapotosha wananchi jana katika mjadala wao wa katiba. sasa waziri wa sheria na katiba Celine Kombani anasoma muswaada kwa mara ya pili na kisha kujadiliwa.
Yule mwingine ni mweupe sana, infact ni mtupu kabisa!.Basi Mpwa nimekusoma uzuri kumbe ni Mama! Nawaheshimu sana akina Mama, hongera zake ila yule aliepita mmmmhh kawadhalilisha akina Mama wengine pamoja na huy