Bungeni: Muswada wa katiba mpya wasomwa

Bungeni: Muswada wa katiba mpya wasomwa

kumbe mama makinda aliingilia mchakato wa muswada wa katiba
kuzuia tume kuzunguka mikoani
kuongezea watu watano kinyume na sheria
 
mswada usomwe kwa mara ya kwanza... lissu namwaga cheche
 
Mi sikuyajua haya ya kuongezwa kwa wajumbe kinyume cha taratibu, mama wa watu anachekacheka tu
 
spika kumbe kaingilia mchakato wa kamati ya katiba, kaongeza wajumbe kinyemela wa tano, kakataa tume isiende mikoani kupata maoni ya wapinzani
 
rais anamadaraka makubwa sana katika mchakato huu! hakika lissu ni kichwa
 
Naona hata wale mabingwa wa kusinzia nao wameamka wanasikiliza kichwa kikiongea! umbea wa kupiga makofi umeisha sasa wanajutia kwanini walimpigia makofi yule Mama nanihii
 
lissu anawachana live.....hakika nchii hii hapatatosha.....
 
Magambaaa nomaaaaaa majashooo mpaka kwenye nannnn............................
 
safi sana muheshimiwa lissu wape ukweli muswada wa katiba unatakiwa kusoma kwa mara ya kwanza
 
hivi wazenji wanaunga mkono huu mswada kweli....
 
Back
Top Bottom