Asisahau tu kutupa resolution baada ya kuwachambua kama upinzani (ambao ndiyo sauti ya mtanzania wa kawaida) watafanya nini kama CCM na majority of votes zao wataupitisha? Sisi tuko hapa tayari tayari kwa chochote watakachosema against hii dharau kuu ya CCM waliotuonyesha leo!