Bungeni: Muswada wa katiba mpya wasomwa

Bungeni: Muswada wa katiba mpya wasomwa

Duh nimecheka hadi basi, naona Bi kiroboto nae anazungumzia suala la muongozo!!! Naona wigi la leo halijamkaa vizuri
Mkuu asante kwa observation yako juu ya bi Kiroboto
 
Hii dharau ya CCM itafikia mwisho. Wanawajenga Chadema kwa kupuuza mambo ya msingi. Majaji wastaafu wanapinga, chama cha wanasheria wameupinga, wanaharakati wanaupinga.
Ndio kusema wote hawa ni wapuuzi?
 
  • Thanks
Reactions: Ame
I'm speechless ! Bunge na serikali ya vilaza unategemea nini? So dissapoited
 
  • Thanks
Reactions: Ame
I'm speechless ! Bunge na serikali ya vilaza unategemea nini? So dissapoited

Sijui kama umenifikia aise; am always slow to anger lakini leo nimejikuta mpaka naongea in new tongues ooh lord of mercy nipe uvumilivu..Sijawahi ona hii hali maishani mwangu afadhali niko huku pekee yangu hata nikifanya vituko hakuna anaye niona!
 
Hili la Bi Kiroboto kumwita Mh Dr Mrema na Mh nae kujikwaa na Mheshimiwa Mwenyezi Mungu, nimecheka sana mpaka nimesahau hasira nilizozipata kutokana na michango iliyofwata baada ya Mh Lissu, kweli CDM wanawakimbiza wangekua wanapimwa mapigo ya moyo Lissu akiwa anaongea hakika tungepata majibu yaa ajabu.

Quote of the day started as follows:

Bi Kiroboto: Mh. Dr. Mrema.
Mh.Dr. Mrema: Mhemishiwa Mwenyezi Mungu

Kwa mazingira haya Katiba ya maana Watanzania haipo ni kupoteza muda na rasilimali.
 
tupamge naana ya kukabiliana nao maana tayari wameshakiuka tulichokitaka......hatupaswi kuendela kuongla juu ya mlema kasema nini.....tujipange ili iwe non-stop hadi kieleweke
 
Amepiga nyundo kuwa kuwaendekeza wazanzibari ni kufanya muungano upingwe na watanganyika. Nikamwona bi kiroboto akifungua kitabu cha kanuni.
Amemaliza. Anamwita Ana Kilango achangie.
wabunge wa kafu wanafanya nnini sasa ..wapo kwa ajili ya matumbo yao nini
 
Nipo nami mkuu;Deus kibamba tunasubiria tamko lako(lenu jukwaa la katiba)

Hili ni kosa mkuu...kwanini tuwe tunasubiri mpaka akina Deus, CHADEMA etc. wawe wanatoa matamko?

Sisi kama raia tunapaswa tuhamasishane kwa njia na sehemu zozote zile zinazowezekana; iwe vijiweni, mitandaoni, kwenye daladala, taxi, bar, disco, cinema, kanisani, misikitini, vyuoni, visimani, sokoni, gengeni, dukani etc.
 
tena ikiwezekana na mikasi tususe kuanzia usiku huu hadi tuikomboe toka kwa MAGAMBA HAWA... NATAMANI NITOKE NA PANGA HATA NOW..WIFE KANIGA RUKSA wana JF tunalianzisha vp?
 
Siyo kuandamana tu bali hawa wabunge wale mkong'oto kweani wanasema tunapotoshwa maana yake sisi hatuna akili ! Sasa ndio wakati wakujua kama kiberiti kimejaa au la!
Hawa ccm hawawezi kuelewa kama hawadundwi.
 
Back
Top Bottom