mkuu huyu ni MBUNGE WA CHADEMA MBOZI!
SI WA CCM KAMA ULIVYOANDIKA!
Sijui huyu jamaa anaongea nn,sijamwelewa bado
Wewe Silinde ni CDM.
duh!,nyangwine vipi?yaani maswala ya kitaifa anasema ni ya ccm.sana sana anakuwa kama anaongea ili watu wa tarime wamuone anawatetea lakini point hamna.anajichanganya sana.
Nyambari Nyangwine kiswahili kushney,hawezi kujenga hoja na anajichanganya sana.
Unamcheki Zadabinda naye alivyokuwa hajiamini,anasema samki wanazaa watoto wengi zaidi kuliko myama yeyote duniani
Nimelazimika kumkubali Mh. Mbunge wa Kibakwe (CCM) ambaye ndie mwenyekiti wa Bunge katika kikao cha leo. Mgogoro ulianza baada ya mbunge mmoja wa CCM (Simkumbuki) kuomba mwongozo akidai David Silinde amedanganya kwamba CCM haijafanya chochote jambo lililoelekea kuibua mgogoro kama ule wa Wenje na CCM. Busara ya Mwenyekiti ni kwamba Silinde amejenga hoja vizuri akaeleza ni kwanini anaamini aliyoyasema. Ndipo Mbunge wa CCM akakubali na kukaa kimya. Anna Makinda hawezi kujifunza hata kidogo kuchota busara kutoka kwa watu kama kina Simbachawene?
Mbunge wa CCM David Silinde Akitolea uvivu chama chake asema mpango wa Maendeleo wa 2011/12 - 2015/16 ni changa la macho haiwezekani kutekelezeka, asema inakuwaje wenzake hawasomi alama za Nyakati.
Kapigwa stop na Mwenzie kwa mwongozo kuwa kapotosha kuwa maelezo aliyoyatoa yanalenga kuupotosha Umaa, Duuhh Hii kali baadhi ya wabunge wanashabikia ati CCM
Apaza sauti upya na kudai haitaki taarifa hiyo kwa kuwa imelenga kujipatia ujiko kwa mbunge aliyempiga stop bila kufuatilia kwa umakini alichokisema.
Inafurahisha kuona kama wabunge hakuna kulemba bendera za vyama ni hoja tu.
Huwezi kufungwa kwa sababu ya kutoa kauli bungeni Parliamentary ImmunityHuyu Kafulila ni mtupu sana katika maswala ya siasa, na inatakiwa akitoka kwenye viwanja vya bunge atiwe pingu na kukimbizwa mahabusu, mbali na kuongea uzushi wa hali ya juu, ni kosa la jinai kumficha au kuficha uovu, Sasa kama alikuwa na taarifa na hard evidence kwa nini hakupeleka sehemu husika ili sheria ichukue mkondo wake?
Huu ni mchezo sasa, watu wanapayuka tu sasa.