BUNGENI: Mjadala wa mpango wa maendeleo wa taifa

analalamikia perfomance indicators (P.I)...

anaendelea kuanisha maeneo ambayo pia yameathiriwa na kutokuwa na P.I anataja elimu, afya, maji

anashauri serikali ireview mpango huo ili kuweka P.I
 
Alphaxad Ndege Kangi Luoga, mmh kama dudu vule teh! Jamaa hana hoja, alafu atakua ni mwalimu kiprofesion! Kitambi chake sasa duh!
 
Hivi siku hizi wahalifu wanapelekwa bungeni? Tanzania kweli kichwa cha mwenda wazimu!
 
Nyambari nyangwine hajui kuongea, hana pointi, anajikanyaga duh hovyo sana huyu! Nawasi wasi na mavitabu yake!
 
Hivi siku hizi wahalifu wanapelekwa bungeni? Tanzania kweli kichwa cha mwenda wazimu!
Mambo ya CCM hayo Mkuu. Haki za binadamu. Yaani hili jamaa hata sielewi linaongea nini? LInasema ni vigumu kutekeleza mpango huu. Inaelekea huyu alitoroka vikao vya Chama chake vya kuwekana sawa
 
Anaibomoa serikali kwa kukaa kimya huku wananchi wanaporwa ardhi. Je walima wapi kama kweli tunakusdia kutekeleza mpango huu ?

kataja mfano Bulamba...Nadhani ni Bunda huko Mara kama sijakosea

Kalitaja jeshi pia limepora ardhi maeneo hayo na serikali ipo kimya

karusha kombora kwa wadau ambao huenda wakati fedha hzi zinapitishwa wao wamejipanga kuiba

anatoa wazo
 
Naangalia bunge hapa ila nashindwa kuelewa hivi wabunge wa ccm wanaona ambacho watz hatuoni. Yaani wote wanachangia kwa kuipaisha serikali ya ccm imefanya makubwa kila sekta. Mfano kuna mmoja anasema Jk analaumiwa kwa kusafiri nje ya nchi na akasema faida zake ni kama kupatikana kwa mradi wa Symbion. Mwingine anasema watz wasikubali kupotoshwa kuhusu kuondole posho, anadai hii ni ajenda ya ccm, wapinzani wasiitumie kutafuta umaarufu. Kiujumla hawa wabunge wa ccm kikubwa wanatuaminisha kwamba serikali imefanya maendeleo makubwa na wanaendelea kuwaletea maendeleo watz, kitu ambacho watz hawakioni.
Sasa nashindwa kuelewa hivi wanatetea wataz wanyonge au wanaipaisha serikali yao ya ccm. Mimi binafsi nakereka na kauli zao
 
Nimeipenda sana! kwa kutaja mtu bila uoga. Anasema ana ushahidi na haogopi lolote, eti hakuna maana ya kuwa mbunge kama ni wala rushwa.
 
sheria ya manunuzi iboreshwe na atakehuhujumu aungue paleplae kama wanavyofanya katika kudhibiti uvuvi haramu. maodita wazunguke na kubaini wabadhilifu na waadhibiwe palepale.

Nimeipenda hii...tatizo ujasiri huo wanao

kamaliza kwa kengele ya pili

hajaunga hoja mkono mpaka hayo aliyoomba yakirekebishwa

Mzee kibandiko sasa...Tatizo yupo Mic Mbovu na sauti yake ya Kiflu fluu basi kaaazi kweli kumsikiliza
 
Mzee wa Kiraracha. Hivi najiuliza kama hayo yote yanajadiliwa sasa, kwenye bajeti watazungumzia nini? Au ni kusogeza siku na posho ziingie tu
 
hao ndo wabunge wa ccm!
Hawabadiliki! Wanatia hasira! Sijui wapo hapo kumuwakilisha nani.
 
Back
Top Bottom