Bungeni: Mdee aishukia serikali!

Bungeni: Mdee aishukia serikali!

Juzi ulimsifia Msigwa leo Mdee, inaonekana Chadema unakikubali.
ila mambo madogo madogo ndio yanakufanya ufanye tofauti na moyo wako unavyoamini.!!

Njaa mkuu atafanyaje na huku CCM ndiyo kibaruani kwake?
 
chadema wanapambana kujinasua na kukwepesha huu mjadala unaowaelemea wa ugaidi kama kawaida yao

Mi naona kama vile ccm ndio inakwepesha, sasa hivi wameleta suala la "Katuni wa Mwigulu" (kama ccm mnavyomuita) ili kuwafanya watu wasahahu unyama mlioufanya kwa CHADEMA pale Soweto. Bahati Mbaya mmekosea, Watanzania wa sasa hivi sio wale wa zamani. Kama mlifikiri ni upepo tu mmenoa.
 
Juzi ulimsifia Msigwa leo Mdee, inaonekana Chadema unakikubali.
ila mambo madogo madogo ndio yanakufanya ufanye tofauti na moyo wako unavyoamini.!!

Mkuu huenda ukakuta ID anayotumia HAMY-D ni kwa ajili ya mkate wake wa kila siku wa Buku saba 7000/=......
Lakini deep inside his heart ni Mwana-Chadema, kwani si unajua kauli mbiu ya CDM ni "Kula CCM lala Chadema".
 
Last edited by a moderator:
kodi tatu za simu zote kwa mtumiaji wa simu,kodi nyepesi kwa kuiona lakini ni nzito na mzigo kwa mtanzania masikini.
Muache siasa nyepesi mkitaka kuwasaidia vijana ondoeni kodi ya mafuta kwani itasaidia kuwapunguzia mzigo wa hela wanazotakiwa wapeleke kwa wamiliki wa hizo pikipiki.
mkuu serikali inania njema na watu wake ndiyo maana wakati jk anaingia madarakani kodi kwenye mishahara ilikuwa 18% leo imefika asilimia 13 hapo vipi.

Mipango kabambe bado inaendelea jk ameamua kuliacha taifa pazuri kwenda kigamboni sasa itakuwa kutumia daraja siyo boti tena.
 
Kwa hiyo Serukermber ndiyo alimwaga point na Pinda aliongea cha maana? Haki ya nani CCM hakuna mzima!

wazima ni wale magaidi wanaoteka watu lingine lipo ndani-kileo,lingine lipo nje kwa dhamana-lwakatare.
 
kwa mara ya kwanzanimeikubali coments yako, nakupa 2/10.
We hujui kusoma kati ya mistari? Anafurahi ccm hawajashutumiwa na wewe unaingia kichwakichwa/ Angeshutumu unadhani huyu jamaa angekuja na hii comment?

Huyu Mdee nimemsifu kwa kukanusha bila ya kurusha tuhuma zozote kwa chama ama mtu yeyote yule. Amekomaa kisiasa!
 
Halafu rejea ile mada yako kwamba ndani ya CHADEMA hakuna mtu mwenye hoja zaidi ya ZITTO na SLAA....
Kuna wakati huwa unajiachia au?

Mkuu, kama ningefanikiwa kuiona hii thread mapema nae ningemuweka! amejenga hoja kwa umaridadi mkubwa. Sina mengi ya kusema zaidi ya kumkaribisha CCM tuijenge nchi yetu pamoja.
 
Yote hayo yanazungumzwa na hiyo migaidi ya CCM badala ya kutatua matatizo haya
View attachment 99835View attachment 99836
sasa hapo unajiuliza ni kiasi gani kimetumika kusingizia watu kesi na kwasafirisha kwa chopa mara tatutatu ,kumbe kiasi hicho kingesaidia hata kununua kigodoro tu hata cha kiuanafunzi kuwanusuru kina mama hao.ni hatari sana kuwa na serikali yenye viwio watupu. hawajui hata kupanga mambo ya kimaendeleo.Aaagh! inatia hasira kwakweli.hala kina mama haohao kesho wanapewa ubwabwa na khanga wanayasahau yoote
 
Chapa kazi mama nakupa big up kwa kuwatolea uvivu hao magamba na viongozi wao. PEOPLESSSSSSSSSSSSSSSS!!!!!!!!!!!!
 
Juzi ulimsifia Msigwa leo Mdee, inaonekana Chadema unakikubali.
ila mambo madogo madogo ndio yanakufanya ufanye tofauti na moyo wako unavyoamini.!!

Bado wewe idawa, utaikubali chadema tu kwani kwani huwezi kubakia na roho ya paka wakati unaona jamii inaangamia kwa sbb ya watu wachache, iko siku nafsi itakusuta!
 
hongera sana dada halima MDEE so CCM timizeni ahadi yenu ya maisha bora kwa watanzania.mnawaogopa sana CHADEMA ndio maana hata uchaguzi mdogo kitu mnacho jivunia nia AMANI maendeleo huwa hayatamkwi,miaka 50 ya uhuru taifa tuna misitu lakini watoto wana kaa chini shame on you JK,PINDA,ANNE MAKINDA NA MUUZA PEPMBE ZA NDOVU KINANA
 
Hakuna lolote wanatapatapa tu ukweli utadhihirika mahakamani
 
Halima Mdee ni miongoni mwa wabunge mahiri wa CDM wanaowafanya watanzania zaidi na zaidi wanaendelea kuikimbilia CDM kama chaguo lao la kwanza kwa Tanzania waitakayo. Huyu mbunge ni full ma-confidence,
mbona slaa anataka kumpokonya jimbo la kawe na kumpa bibi yake josephine?
 
Back
Top Bottom