Bungeni: Mdee aishukia serikali!

Bungeni: Mdee aishukia serikali!

umansifu kwa vile hajawataja kwa vile ndio mlihusika au unamsifu kwa kutoanika uozo wenu???
hata mwanangu wa chekechea anajua nani mhusika hivo Mdee anajua kila mtu anajua.
kwa hivo unakiri kuwa Mwigulu hajakomaa kisiasa kwa vile aliwahusisha bungeni chadema moja kwa moja
na baadae akasikia anakanusha kauli yake VOA.

Huyu Mdee nimemsifu kwa kukanusha bila ya kurusha tuhuma zozote kwa chama ama mtu yeyote yule. Amekomaa kisiasa!
 
Huyu Mdee nimemsifu kwa kukanusha bila ya kurusha tuhuma zozote kwa chama ama mtu yeyote yule. Amekomaa kisiasa!

Dunia imeshajua kuwa CCM imeua raiya wema kwa bomu na risasi za moto SOWETO Arusha, Halima Mdee hakuona sababu ya kuwafustrate nyie wauawaji mapema sana kwa hili.

Hii damu iliyomwagwa na CCM hapa SOWETO Arusha inaizika CCM rasmi.
 
Mkuu, kama kuna ushahidi wowote ule unaoonyesha uhusika wa CCM kwenye lile tukio la mlipuko basi tunawaomba muupeleke kwenye mamlaka zinazo husika, tena kamishna ametoa mpaka ruhusa ya kuupeleka ushahidi huo Ikulu, sasa mpewe nini ili mthibitishe hizo tuhuma zenu? CHADEMA ina maadui wengi, wenda ni hao maadui wao wengine ndio waliolipua bomu pale Soweto na sio serikali kama mnavyotaka kuaminisha watu humu!
 
Akiwa ana changia bungeni, mhe Halima Mdee ambae ni mbunge wa jimbo la kawe, ameipa za uso serikali kwa kuiambia amelaani vikali upotoshaji uliofanywa bungeni kuhusu mlipuko uliofanywa Arusha kuwa ni CHADEMA ndio walio husika.

Aidha, mhe Halima Mdee amesema, CHADEMA watakuwa ni wendawazimu wa kujilipua wenyewe kwa lengo la kujitafutia umaarufu au kutaka huruma kwa wananchi, wakati tayari nchi imewakubali, na mziki wa CHADEMA watauona rasmi 2015.

Safi sana Mh. Mdee. Wape za uso huko Bungeni maana huku mitaani tunawapa kavu kavu tu hao MAGAMBA. Hata ile rangi ya kijani haionekani mtaani kwetu siku hizi. Sare zao wanavalia kwenye ofisi zao (kiuhalisia 2015 zitakuwa ni nyumba za serikali).

Juzi kati mtaani kwetu kada wa CCM kachoma bendera yao ya KIJANI na kujiapiza kwamba "ANAIKATAA CCM NA KAZI ZAKE ZOOOOTE, NA MAMBO YAKE YOOOTE NA SASA ANAJITOLEA KWA CHADEMA HADI KIELEWEKE 2015".

Kazeni buti bungeni licha ya hujuma zote. Mtaani tumesha wakaba makoo na ndio maana MAGAMBA wameshindwa kuileta Rasimu ya Katiba Mpya mitaani kwani wamejua hakuna wanachama wa MAGAMBA zaidi ya MaRc na MaDC wakisaidiana na POLICCM.
 
Lakini kwa nini asimtaje kabisa Mwigulu kama ndiye mpango mzima aliyetuma maharamia kurusha bomu??
 
chadema wanapambana kujinasua na kukwepesha huu mjadala unaowaelemea wa ugaidi kama kawaida yao
 
safi sana halima kwa kuwapa za uso kavu kavu mama inapendeza sana.....waoooo halima bado jimbo ni lako hapa kawe tena tunakutaka uje tegega hapa ukitoka bungeni utupe mawili matatu siku nyingi atujakuona
 
Akiwa ana changia bungeni, mhe Halima Mdee ambae ni mbunge wa jimbo la kawe, ameipa za uso serikali kwa kuiambia amelaani vikali upotoshaji uliofanywa bungeni kuhusu mlipuko uliofanywa Arusha kuwa ni CHADEMA ndio walio husika.

Aidha, mhe Halima Mdee amesema, CHADEMA watakuwa ni wendawazimu wa kujilipua wenyewe kwa lengo la kujitafutia umaarufu au kutaka huruma kwa wananchi, wakati tayari nchi imewakubali, na mziki wa CHADEMA watauona rasmi 2015.

mdee hakuna ajualo. yeye ni kama zitto tu. siku zao ndani ya cdm zinahesabika
 
Mkuu, kama kuna ushahidi wowote ule unaoonyesha uhusika wa CCM kwenye lile tukio la mlipuko basi tunawaomba muupeleke kwenye mamlaka zinazo husika, tena kamishna ametoa mpaka ruhusa ya kuupeleka ushahidi huo Ikulu, sasa mpewe nini ili mthibitishe hizo tuhuma zenu? CHADEMA ina maadui wengi, wenda ni hao maadui wao wengine ndio waliolipua bomu pale Soweto na sio serikali kama mnavyotaka kuaminisha watu humu!

Jibu ni TUME YA KIJAJI. M/ Kiti wako kala jiwe. Ushahidi unapelekwa POLICCM badala ya Mahakamani? Nani kakuambia IKULU inapokea vithibitisho vya kesi au malalamiko?

Tatizo watu wamepewa vyeo na hawajui majukumu yao nini? Hata huyo aliye kutengazieni kwamba ushahidi upelekwe IKULU ni umbumbumbu wa kutojua sheria na badala yake anafanya kazi kwa maagizo/ maelekezo ya maslahi ya upande fulani.
 
safi sana halima kwa kuwapa za uso kavu kavu mama inapendeza sana.....waoooo halima bado jimbo ni lako hapa kawe tena tunakutaka uje tegega hapa ukitoka bungeni utupe mawili matatu siku nyingi atujakuona

dah yaani wewe mburula kweli. mbunge hujamuona siku nyingi halafu unamshabikia. pole sana na mbunge wako kilaza huyo. 2015 ataipata fresh
 
Juzi ulimsifia Msigwa leo Mdee, inaonekana Chadema unakikubali.
ila mambo madogo madogo ndio yanakufanya ufanye tofauti na moyo wako unavyoamini.!!

Bado anatamani arudi CHADEMA,nafsi inamsuta
 
Was watching in office that was a piece of facts.
 
Huyu Mdee nimemsifu kwa kukanusha bila ya kurusha tuhuma zozote kwa chama ama mtu yeyote yule. Amekomaa kisiasa!

Halafu rejea ile mada yako kwamba ndani ya CHADEMA hakuna mtu mwenye hoja zaidi ya ZITTO na SLAA....
Kuna wakati huwa unajiachia au?
 
Back
Top Bottom