Bungeni: Mdee aishukia serikali!

Bungeni: Mdee aishukia serikali!

Mh Mdee hakuwa na haja ya kuitaja CCM au serikali yake kwa jina, bali aliwakilisha kesi ambayo kwa wenye akili tunajua anaisema serikali ya CCM na viongozi wake. Mh Mdee ametumia lugha ya kisheria, kuishambulia serikali kwa Uzembe pasipo kuingiliwa na Lukuvi au Werema. Mh Mdee ameonyesha Usomi na matumizi mazuri ya elimu yake ukilinganisha na Mwigulu
 
Mkuu, kama ningefanikiwa kuiona hii thread mapema nae ningemuweka! amejenga hoja kwa umaridadi mkubwa. Sina mengi ya kusema zaidi ya kumkaribisha CCM tuijenge nchi yetu pamoja.
Aaaaagh HAMY-D!
Kweli kuna wajenzi wa HOJA CCM???!
Kweli?
Dah!
 
mbona slaa anataka kumpokonya himbo la kawe na kumpa bibi yake josephine?

Huu upuuzi mwingine achana nao!
Kueni jamani...
Amnyang'anye ubunge kwani ni wa SLAA?
Slaa anapiga kura ngapi kwani?!
Propaganga za kuichonganisha CHADEMA zilishashindwa ndugu yangu!
 
Huu upuuzi mwingine achana nao!
Kueni jamani...
Amnyang'anye ubunge kwani ni wa SLAA?
Slaa anapiga kura ngapi kwani?!
Propaganga za kuichonganisha CHADEMA zilishashindwa ndugu yangu!

basi hujui nini kinaedelea chdm. hujui kuwa slaa na mdee hawapikiki ........!? hujui kuwa josephine amefanya mikutano mitatu kawe na kutoa missada bila ya kumji\ulisha mdee!? hujui kuwa mdee keshashtaki kwa mbowe!? uko wapi dogo?
 
Huyu Mdee nimemsifu kwa kukanusha bila ya kurusha tuhuma zozote kwa chama ama mtu yeyote yule. Amekomaa kisiasa!

Taratibu utawakubali taratibu,kila nikisoma maandiko yako naona kila siku,taratibu unakuja kwenye upande wa ukombozi,karibu HAMY-D.
 
Akiwa ana changia bungeni, mhe Halima Mdee ambae ni mbunge wa jimbo la kawe, ameipa za uso serikali kwa kuiambia amelaani vikali upotoshaji uliofanywa bungeni kuhusu mlipuko uliofanywa Arusha kuwa ni CHADEMA ndio walio husika.

Aidha, mhe Halima Mdee amesema, CHADEMA watakuwa ni wendawazimu wa kujilipua wenyewe kwa lengo la kujitafutia umaarufu au kutaka huruma kwa wananchi, wakati tayari nchi imewakubali, na mziki wa CHADEMA watauona rasmi 2015.

wanaoishabikia CCM wanavutiwa na nini hasa????ccm ina majina mengi:chukua chako mapema,chama cha majambazi,chama cha mafisadi,chama dola nk
 
Ameongea utumbo Mede anapenda kusifiwa mbona mtaaani hana ujanja ? Ngoja 15 haoni ndani:angry::majani7:
 
Huyu Mdee nimemsifu kwa kukanusha bila ya kurusha tuhuma zozote kwa chama ama mtu yeyote yule. Amekomaa kisiasa!

Kwa maana hiyo unakiri kuwa Mwigulu hajakomaa kabisa kwakuwa amerusha tuhuma kwa Chama cha siasa!
 
Hakika Mdee ni jembe la ukweli,nilimsikiliza wakati anachangia muswada wa fedha jinsi alivyoichanachana serekali na ccm yake.niliwaona Makinda,Werema,Nagu,lukuvi wakitoa macho na kutamani kuomba mwongozo lkn wapi!UKWELI UNAUMA.mia
 
Akiwa ana changia bungeni, mhe Halima Mdee ambae ni mbunge wa jimbo la kawe, ameipa za uso serikali kwa kuiambia amelaani vikali upotoshaji uliofanywa bungeni kuhusu mlipuko uliofanywa Arusha kuwa ni CHADEMA ndio walio husika.

Aidha, mhe Halima Mdee amesema, CHADEMA watakuwa ni wendawazimu wa kujilipua wenyewe kwa lengo la kujitafutia umaarufu au kutaka huruma kwa wananchi, wakati tayari nchi imewakubali, na mziki wa CHADEMA watauona rasmi 2015.

Nimekosa uhondo sikuwa kwenye tv,kama yawezekana mtu aliyerekodi atuwekee humu youtube tuone magamba yalivyotafakari pamoja na bibi kiroboto.
 
Kamanda kaza buti ukirudi Kawe twakungoja tupange mikakati ya serikali za mitaa, udiwani, ubunge na urais. Kwa CDM inawezekana kabisa 2015 tutaingia Magogoni.
 
Wanao aminika kwa magamba ni Rukuvi, Tyison, Pinda ambao wanatia huruma wanadhani wako ok kumbe ni mbumbumbu!
 
Penye ukweli uongo hujitenga. Watu zama hizi wameamka wanaona, wanasikia na wanatathmini mambo kwa kina hawadanganyiki wala kutishwa hata kidogo. Hukumu ya waongo, wabambikizaji kesi, watesaji na wauaji pamoja na mafisadi hapa duniani ni 2015 na hukumu nyingine inawasubiri siku ya kiama. TULIANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU.
 
Hivi hao wachache wanaoishabikia ccm ni watz kweli?
 
Hakika mchango wake umeonesha namna alivyokuwa na dhamira safi ya kuwatetea wanyonge kwani ni dhahiri kupandisha bei ya mafuta ni kuwafanya wananchi waendelee kupigika hali waliahidiwa maisha bora!
 
Nimekosa uhondo sikuwa kwenye tv,kama yawezekana mtu aliyerekodi atuwekee humu youtube tuone magamba yalivyotafakari pamoja na bibi kiroboto.

Mkuu.. Leo Magamba yalikua kama PILITON.. Nondo toka muasisi wa neno DHAIFU.. MDEE akamaliza NONDO .. Werema na Lukuvi mimacho KODOOOOOOOO.......
 
Mkuu, kama kuna ushahidi wowote ule unaoonyesha uhusika wa CCM kwenye lile tukio la mlipuko basi tunawaomba muupeleke kwenye mamlaka zinazo husika, tena kamishna ametoa mpaka ruhusa ya kuupeleka ushahidi huo Ikulu, sasa mpewe nini ili mthibitishe hizo tuhuma zenu? CHADEMA ina maadui wengi, wenda ni hao maadui wao wengine ndio waliolipua bomu pale Soweto na sio serikali kama mnavyotaka kuaminisha watu humu!

mamlaka ziko za aina mbili...za kishetani...na za utuwema......

una maana aupeleke ushahidi kwa CHAGONJA?...AU ADVOCATE NYOMBI?...au PINDA??? au MAKINDA???

Hakuna tena mamlaka tanzania
 
Hivi wenye kesi za ugaidi hasa ni kina nani na matukia yaliyoitokea Arusha si niya kigaidi jamani sasa mnafikiri magaidi wanashindwa kulipua hata kwao kwa maslahi yao
 
Back
Top Bottom