Bungeni: Mbowe aweka msimamo wa posho

Mbowe ni mzalendo halisi wa nchi yetu, nimemsikia akisema pia viongozi wa umma wanatumia nafasi zao vibaya, wanasafiri na Business class au special,tembelea land cruiser, kulipana posho za mamilioni, semina kila wakati kuhusu kuepuka ugonjwa wa ukimwi n.k...............
 
Bado namsubiria Zitto amalize Msumari wa Mwisho naona hawa wengine wanauza Chai tu ha ha haaa
 
Muda Umekwisha ila Mbowe naona bado alikuwa na Misumari Mingi ya Moto
 
Nchi hii.
1. Viongozi wana safiri business class kwenda nje ya nchi huku wanao tupa misada wakipanda econimic class
2. Posho inabidi wabunge wachukue uamuzi mgumu sana
3. Viongozi wanatumia magari mapya ya serikali, je ni wangapi wakistafuu wana uwezo wa kuyanunua mapya wakisha stafu?

Kwa kifupi mkuu ameongoe sana na makinda ilibidi aongeze mda makusudi
 
Jamaa kweli anafaa kuwa kiongozi. Ninangoja jinsi atakavyojadili hotuba ya anayejiita mtoto wa mkulima kumbe ni mtoto wa rockfeller.
 
ameshamaliza kuchangia,mnyaa ndiye anaendelea kuchangia. Mbowe ameongelea posho, magari na matumizi mabaya ya fedha za wananchi katika usafiri..akasema kama mbunge anasafiri kwenda ùlaya analipa 5000usd kwa biznes class wakati economy class ipo for just 1200usd..! akasisistiza kuweka utaifa mbele na kutambua kuwa inchi yenyewe ni masikini. mwisho akaongelea stationeries muda ukaisha..! generally he spoke in a very cool tone..wabuge wengi walionekana kujikunyata km wamemwagiwa maji..ni km kulikuwa na msiba
 
Eti viongoz wanakaa semina kuelimishana kuhusu Ukimwi, akasema kiongoz ambae mpk sasa hajui kuhusu Ukimwi huyo hafai kuwa kiongoz na hzo ni njia za kula hela (posho)
 
Ningekuwa ni Speaker Ningesema Nafunga Bunge tukutane Mwakani bunge na Serikali Itekeleze yaliyosemwa na Mbowe
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Back
Top Bottom