viumbe gani?Mbona huyu mama nasikia ana "viumbe" anawafuga?
Acha uongo wako, Adui wa watanzania ni wabunge wa CCM, wananchi tumeshajua kila kitu. Tunangoja 2015 tufanye uamuzi.
Mwigulu kachafua hali ya hewa kwa kutoa maneno ya vijembe utazani mwimbaji wa Taarab.
leo alikuwepo jenista mhagamaDuh,,,,asante mdau,,,,wabunge wa upinzani(chadema)watajaza makataba ya bunge kwa ushahidi
yaan ni ushidi na miongozo,,,,nani leo anaendesha kikao,,,,,,?????
Anayewashwa ni Mabumba mwenyewe mwangalie mitako ya Mabumba anaujua huyu mchezo wa wazanzibari si ndio kwaoHoja ya Mh. Mnyika aka Mh. Washwa washwa iliishia wapi ? au ndio alikuwa anajitafutia umaarufu km kawaida yake?
Mh.Mkasomali na Myika wameomba mwongozokuhusu sakata la madaktari, kwamba imefika wakati sasa liruhusiwe kujadiliwabungeni kwani serikali mado inafanya maamuzi kibabe wakati swala lipo mahakamanina Madaktari wanaendelea kigoma huku wananchi wakizidi kuathirika.
PiaMh.Mnyika amelalamila kuwa jana Mwenyekiti aliwatolea kauli mbaya kwa Mbunge Mkasomali na yeye yaliyokiukaa kukiuka kanuni mbalimbali kwa kuwaambia kauli zamatusi, maudhi na kashifa kufuatia kumwambia Mkasomali kwamba aache kimbelembele,anadandia hoja na anajitafutia umaarufu. Na kwa mnyika kuwa ameshindwa kujibu taarifa (kufatia hoja za Mwigulu ambazo sikubahatika kuzisikia) ambapo hajapewanafasi ya kujibu na kuwa eti Mnyika nawashwa (kauli amabyo aliitafasiri kama nitusi). Majibu ya Mwenyekiti: Kuhusu sakata la madaktari hakutolea jibu lolote,bali Mwenyekitu amemgeuzia kibao Mkasomali na kusema yeye ndiye alivunja kanuni kwanza (hakutaja zipi), ila kuhusu Mnyika amesema atalijibu baadaye ama siku atakayoona inafaa.
Kama na muhilili huu utabaki kimya kwenye huu mgogoro wa madaktari na serikali, basi itabidi wananchi tutumie nguvu ya UMMA.
Siyo Chemba tu, bali bunge zima halina maana tena , siyo CCM siyo Chadema, wote nyanya nini wanachokifanya sasa. Wapishe vyama vingine wachangie
Ukizaliwa tanzania, ukakulia tanzania ukasomea tanzania na ukafia tanzania wewe umepoteza muda wako...
yani Hoja za Mnyika zinawasha mpaka wanamuita washa washa kama zile gari za FFU ZA WASHA WASHA,AUni kwakuwasha moto bungeni? kila kukicha?Uongo mkubwa kwanini wangoje mpaka ijumaa na kwa nini hawaungi upinzani wanaposema swala la madaktari lijadiliwe hawana nyimbo hao wabunge wa CCM ni upuuzi mtupu