Kwa jinsi hali inavyozidi kuwa tete mahospitalini kutokana na serikali kucheza vibaya kete yake, hadi kufikia Ijumaa baadhi ya wabunge wa CCM wataibua hoja ya Bunge kuingilia kati suala hilo na kujadili ripoti ya Kamati ya Bunge ya Afya.
Wameamua kuchukua uamuzi mgumu kwa maslahi ya walalahoi, na hata kama wataonekana wabaya kwa wenzao basi, Liwalo na Liwe!!
Nawaombea kila la heri wafanikiwe.