Bungeni Live: June 19, 2012

Waacheni wazomee maana ni kawaida yao ila kama ulivyosema 2015 watakimbia nchi hawa waacheni tu
 
Yaani kama Mh. Kikwete Raisi na Mwenyekiti wa CCM ni Dhaifu, Je ni Kweli Wana CCM wote watakuwa ni dhaifu?

Yaani kama Makamba, Mh. speaker, Malechela, Lusinde, Sitta, Ridhawani, Mwenyekiti wa UVCCM, Mwenyekiti wa UWT, Mwenyekiti wa Wazazi?, Yaani hawa wote pia watakuwa ni Dhaifu?

Kwa sababu CCM mkubwa kabisa si ni Mh. Kikwete?

Dah hii itakuwa hatari kama ni Kweli.

mkuu ni kweli wote ni dhaifu tena sio dhaifu tu bali ni dhaifu sana.
 
Nimemsikia akionge japo magamba walikua wanaingilia sana hoja yake pamoja na kulalamika lakini mwenyekiti hajachukua hatua.!
 
mkuu ni kweli wote ni dhaifu tena sio dhaifu tu bali ni dhaifu sana.

Ni kweli mkuu kunambunge anaongea hapa hajui anaongea nini? Anaunga hoja anatoa malalamiko yake huu ni ujinga sijui nani kawafundisha ujinga huu
 
Kamuumbua waziri mkuu kwani wakati dogo anatoa vidonge pm yeye kajifanya bussy kuongea na nchambi mbunge wa kishapu, basi dogo akatupia kuwa ndani ya bunge pm anapaswa kusikiliza michango ya wabunge sio kupiga story.
Message sent!!!
 
Hii statement imesemwa jioni hii bungeni ...sio statement ndogo hata kidogo...,wachambuzi na waandishi wa makala ifanyieni kazi
 
Hao ni dhaifu tu mkuu au hukuwaona jana pale mjengoni mmoja wao akiitupa chini bajeti mbadala ya CDM?huku wengine wakimshangilia na kumtuza hela wakati akitoa akitoa povu mdomoni?????na yule aliyekuwa anampakata kabinti (LULU)si ulimsikia????ovyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!
 
mama amesema kutamkwa tu tanzania duniani ni kivutio tosha ukiwaambia kuna gesi ndio kabisa. Sasa tanzania tunajipendekeza.!
 
Sijaelewa kitu, nimetoka kapa!.

Kaza kichwa kaka utaelewe...we kama nchi sio kivutio uwezi shangaa eti budget na nchi inatege,mea boda doa kama nguzo kwa ajira kwa vijana sio kuchoka hukuu????????????????

Asilimia kubwa ya wabunge wa CCM na upinzani wanajitafutia ujiko kwenye kkushawishi bodaboda ziondolewe kodi kweli hii ni nchii auuuuu kivutiooooo..

Ila true kuna mbunge amesema nchi yetu yenyewe ni kivutio na ukifikiri sn utajua kweli ni kivutio mfano ni budget ya kulenga bodaaa bodaaaaaaaaa
 
Nasikia tu kwamba rais wa Bongo ni dhaifu, imekaaje hiyo? hali chakula?,anaumwa? au kunanini jamani ebu tujuzane,mbona majuzi nilimuona ktk picha ya pamoja na Yule superstar wa England akiwa na afya yake au mnazungumzia afya gani?
 
CCM ina wabunge zaidi ya 280 lakini CHADEMA ina wabunge 48 tu ambao ndio wanatoa hoja zenye maana japokuwa na uchache wao, Hivi wingi wa wabunge wote wa CCM lakin wanatoka jasho na kupanic hivyo "je wangekuwa wabunge 100 wa upinzani wabunge wa CCMsi ndio wangekufa kabisa bungeni?
 
Back
Top Bottom