Wakuu aliyekalia kiti cha Spika ni zungu?
Ndio ni yeye huyoWakuu aliyekalia kiti cha Spika ni zungu?
Yaani kama Mh. Kikwete Raisi na Mwenyekiti wa CCM ni Dhaifu, Je ni Kweli Wana CCM wote watakuwa ni dhaifu?
Yaani kama Makamba, Mh. speaker, Malechela, Lusinde, Sitta, Ridhawani, Mwenyekiti wa UVCCM, Mwenyekiti wa UWT, Mwenyekiti wa Wazazi?, Yaani hawa wote pia watakuwa ni Dhaifu?
Kwa sababu CCM mkubwa kabisa si ni Mh. Kikwete?
Dah hii itakuwa hatari kama ni Kweli.
mkuu ni kweli wote ni dhaifu tena sio dhaifu tu bali ni dhaifu sana.
amechangia vizuri sana, amesema serikali imeparalyze.
Sijaelewa kitu, nimetoka kapa!.