Bungeni Kunawaka Moto

Nahisi karibu ya wabunge wote wa upinzan walikuwa wanaomba miongozo, jenista kila akimcheck Zitto Njemba imesimama, kafunga bunge kwa aibu aisee. Kaz wanayo.
 
Fitna ni silaha ya wanaCCM licha ya kuikana katika Ahadi yao ya Mwanachama
 
Safi sana, wazungu wanaona kuna siasa ya kweli Tanzania, hii ndio serekali ilikua inataka....Haya mheshimiwa Kikwete sasa ni wakati wa kwenda kwa wazungu kuomba msaada, watatupa nyingi tu safari hii.
 
Nahisi karibu ya wabunge wote wa upinzan walikuwa wanaomba miongozo, jenista kila akimcheck Zitto Njemba imesimama, kafunga bunge kwa aibu aisee. Kaz wanayo.

Alipomwona ZITO na hamu ya kukaa katika kiti ikapungua, Bunge linaahirishwa huku mama anatembea kutoka katika kiti huku siwa bado imenin'ginia katika nguzo zake na askari yupo mita nyingi kutoka ilipo siwa.
 
Shughuli ni nzito sijui kama jioni ya leo patakalika huko. CCM hawataki kuambiwa ukweli. Ila kama alivyojikaanga Mh. Sitta kuwa Wananchi wataamua ni kweli wataamua. Maana hata yeye hajui wataamua nini
Kumbe Sitta si mwenzetu, ahaaaa...!!!!
 
Safi sana, wazungu wanaona kuna siasa ya kweli Tanzania, hii ndio serekali ilikua inataka....Haya mheshimiwa Kikwete sasa ni wakati wa kwenda kwa wazungu kuomba msaada, watatupa nyingi tu safari hii.

???????????????
 
Sitta tafuta washauri kwa kasi hiyo Lowassa anaonekana anakuzidi uwezo kwa mbali sana. Think before you talk.
 
Kumbe Sitta si mwenzetu, ahaaaa...!!!!

Ashajua tutaamua nini pale ule unafiki tu kufagilia kitumbua ana hofu huenda mabadiliko yakapita wakati wowote akajikuta anakuwa mkuu wa wilaya ya Namtumbo
 
Alipomwona ZITO na hamu ya kukaa katika kiti ikapungua, Bunge linaahirishwa huku mama anatembea kutoka katika kiti huku siwa bado imenin'ginia katika nguzo zake na askari yupo mita nyingi kutoka ilipo siwa.
Kaaaz kwel kwel!
 
Kwa kauli hii six umechemka mbayaa....yaani kweli mfa maji haaishi kutapatapa naona kifo cha magamba kipo krb.
 
Sitta naye kawapiga kijembe magamba, kwamba msisubiri wapinzan wawasifie, ila kaharibu kuhusu posho kachanga maji na mafuta. Leo hivi sijui ijumaa siku ya Nishati itakuaje, itabidi waweke wakina chacha na marwa karbu na mlango wa bungeni.
 
kweli nimeamini kwa mwerevu inabidi uvae ukichaa/wehu ili kuitetea CCM.
 
Wapwaz. Nilikuwa porini najifunza mbinu za kuzuia UCHAKACHUAJI.

Bungeni ninachokiona ni mwenendo wa wabunge wa CCM kukubali liwalo na liwe lazima waweke maslahi ya chama kwanza ndipo nchi inafuatia. Ninafurahishwa namna ambavyo ccm wanajibu pumba kwa hoja za maana za upinzani. Wasidhani hii nchi ni ya kwao. Sisi RAIA ndio wenye nchi na tupo wengi kuliko risasi zao.

Pia kwa wabunge wote, sijaona mtu akitoa hoja binafsi kuhusu kupanda ghafla kwa gharama za maisha hasa bei ya mafuta ilihali duniani kote halio haipo hivyo.
 
Safi sana, wazungu wanaona kuna siasa ya kweli Tanzania, hii ndio serekali ilikua inataka....Haya mheshimiwa Kikwete sasa ni wakati wa kwenda kwa wazungu kuomba msaada, watatupa nyingi tu safari hii.
chizi ...?utaenda mirembe ww tuliza kistobena bado umeanza kuweweseka hujui uandikalo!
 
Ccm huwa hawana akili waikingia bungeni yaani wanalewa gafla sasa wabu wawili watatu wa upinzani wanawapeleka puta tutakapo kuwa 200 ndo watajua who run ths country
 
hizo ni kelele za wapumbavu wa CDM, hakuna lolote hapo. Mwisho wa maneno ni kwenye kupiga kura na hapo ndio mtajua nini maana ya kuwa na wabunge wachache.

CCM ndio dume lenu nyie.
kuna watu naamini sio watanzania jamani tuacheni watanzania tutafute haki zetu we omr ni zao la magamba huwezi ona hii. unaonekana ni mtoto SITTA mnafanana hata akili kweli unajua huku Tarime tunateseka vp. kweli we muuaji. nakuakikishia 2015 hapatakalika.
 
Nahisi takuwa anajaribu kuzima moto kwa petrol. Zama hzo zimepita Omr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…