fredmlay
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 1,849
- 391
Nikichangia hapa nitapigwa rungu!martha mlata kafagilia ambulensi za bakjaji kwa wajawazito..............
Nikichangia hapa nitapigwa rungu!martha mlata kafagilia ambulensi za bakjaji kwa wajawazito..............
Nikichangia hapa nitapigwa banned!
he, pamoja na mkwara wote ule,.............. kaunga mia kwa mia!!.............
Huyu mbunge uwezo wake wa kufikiri umezidiwa na wa mbuzhuyo luhwanya kagusia kamgomo ka ngono kaitishwe tz kwa siku angalau tano hivi............... hadi wanaume watambue kuwa wanawake ni muhimu................... eti watawaficha na watoto wao wa kike wanaume wasiwaone ng'o!!.............
Damn TANESCOOOOOOOOO
malaria na kipindupindu si magonjwa nyemelezi.Anazungumzia suala la kupambana na magonjwa nyemelezi kama malaria na kipindupindu anasisitiza umuhimu ni serikali kujielekeza zaidi katika kupambana na chanzo kuliko tatizo anapigana na tatizo la ulaji mbaya kuwa lazima lidhibitiwe kwa sana na watu wale vizuri (Semina za Ndodi Bungeni) - kwa fedha zipi jamani???
Bungeni Jioni Hii .Giza haliondoi kivuli.
Herbet Mtangi
Ukisimama na kivuli kinasimama, Kivuli hakifukuzi mwanga bali kinafuata Mwanga. Hivyo giza haliondoi kivuli Bajeti mbadala ya upinzani Bungeni ni kama kivuli haina Tija kwa serikali ya CCM.
Haya maneno ya Kishabiki yatakwisha lini kwa hawa wabunge hawa wenye fikara na mitazamo ya kishabiki?
SIONI SABABU YA MH.HUYU KUBEZA BAJETI YA WAZIRI KIVULI,KUNA BAADHI YA MAMBO AMBAYO NI MAZURI AMBAYO SERIKALI INATAKIWA KUYAPOKEA KUTOKA KWA BAJETI MBADALA YA WAPINZANI.MFANO WAZIRI KIVULI WA AFYA AMEELEZA KATIKA HOTUBA YAKE KUWA MATUMIZI YA BAJAJ HAYAWIANI NA HALI YA KIJOGRAFIA YA MAENEO WANAPOISHI WATU HUSUSANI MIUNDOMBINU MIBOVU.
martha mlata kafagilia ambulensi za bakjaji kwa wajawazito..............
Wewe mpumbavu wa akili, unalipot ili iweje? Kesho tutanunua magazeti za hotuba zote. Kila post wewe, uoni aibu mbuzi mkubwa wewe.