Bungeni Jioni Hii….Giza haliondoi kivuli.

MADAWA YA KULEVYA:

Anahoji kuhusu mirungi na vijana wanavyotafuna kwa fujo huku macho yametuna kama fundi saa, anasema hataji ni wapi.

Anamtaka waziri akija ajibu ni vipi wanawapima madereva kujua kama hawatumii madawa ya kulevya hasa mirungi

UZAZI WA MPANGO
Odinga anataka kuja kumuomba JK aruhusu matumizi ya mirungi nchini
 
Anashangaa serikali kuikopa MSD, nauliza KODI Zetu zinakwenda wapi. Kama serikali ni sikivu kama inavyosemwa basi ishughulikie hili mapema na waziri aje na majibu mazuri ya kuridhisha ambayo yatawaridhisha wananchi wala asiseme CHADEMA inawachukia
 
Anazungumzia suala la kupambana na magonjwa nyemelezi kama malaria na kipindupindu

anasisitiza umuhimu ni serikali kujielekeza zaidi katika kupambana na chanzo kuliko tatizo

anapigana na tatizo la ulaji mbaya kuwa lazima lidhibitiwe kwa sana na watu wale vizuri (Semina za Ndodi Bungeni) - kwa fedha zipi jamani???
 
Kila wanapozunguka moja ya suala ambalo haliepukiki ni Afya

pamoja na afya maswali, suala la Afya limekuwa kama wimbo wa Taifa..Maabara hazina vifaa...Uwezo wa kutibu inaonekana umepungua kwa hiyo ni vema tukajielekeza kwenye kutoa kinga zaidi ya kutibu maradhi ambayo ni gharama kubwa sana

wahudumu ni wachache hasa vijijini ikilinganishwa na idadi ya watu wanaohudumia, na hao wachache waliopo hawana Motisha na wala vifaa vya kazi ni mzigo hasa

madawa hakuna

Mzimu wa MSD bado unajitokeza...hawana dawa..wanasema wanatumia muda kupata dawa...kikwazo ni nini? watanzania wataendelea kupata matatizo katika huduma za afya mpaka lini. anahoji Mhagama
 
Anasema anatembea na maswali zaidi ya 100 yote ni kuhusu madawa, kama MSD wameshindwa basi kuanzishwe taasisi nyingine ya kuisaidia
 
huyu mhagama naye??............. eti kila mahali anauliza ...tatizo liko wapi?....tatizo liko wapi?....tatizo liko wapi??............... utadhani serikali kaijua leo!!..................... kumbe yuko bungeni miongo kadhaa!!..............
 
Vitanda katika wodi za akinamama wajawazito nalo limekuwa tatizo sugu wanalala mzungu wa nne
 
anazungumzia suala la uzazi salama

anasema asilimia 47 ni watoto walio chini ya umri wa miaka 18 na hawa ndio wanaongeza idadi kubwa ya bajeti katika wizara ya Afya
 
Anahoji fedha katika bajeti ya Mwaka uliopita matumizi yake katika suala zima la huduma za Afya ya Mamamjamzito kipengele cha uzazi salama halikutumika katika malengo kusudiwa, kama nimemwelewa ndio lengo lake licha kauma maneno kidogo kwa kutolaumu LIVE kuwa kuna ubadhilifu katika fungu hilo liliotengewa mamilini kadhaa
 
anasema uzazi wa mpango ndio utakaonyanyua ubora wa elimu nchini............... nafikiri hajui kuwa kwa mortality rate yetu ilivyo juu imechangia sana watu kuogopa kupunguza uzazi..............
 
Anahoji vipi akinamama zaidi ya 400 wanaofariki kila mwaka kutokana na tatizo la Uzazi salama hawapewi kipaumbele, analinganisha vif hivi na kama vingetokea mara moja lingekuwa janga la kitaifa inakuwaje serikali inafumba macho hapa au kwa kuwa vinatokea kidogo kidogo na wengine huko vijijini hawafahamiki
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom