Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Bunge bubu gizaniNdivyo walivyotaka..yaani watu 360 eti muwe wote na mawazo sawa laah kuna jambo jipya lenye manufaa kwa umma litatoka hapo kweli

atapataje wa kumuuliza swali angali wabunge wote ni vilaza wanaowaza ni saa ngapi wakasaini ili wachukue posho zinazotokana na kodi za wananchi wakazile na kunya?Habari wanajukwaa, ni utaratibu wa kawaida wa kila Alhamisi Wabunge hupata nafasi ya kuuliza maswali kwa Waziri Mkuu na kupatiwa majibu ya moja kwa moja hasa kuhusu mambo nyeti yanayopaswa kupatiwa majibu ya haraka toka serikalini.
Ila hali imekuwa tofauti katika Bunge hili na hali hiyo imedhihilika leo wakati wa kuanza kwa kipindi cha maswali na majibu nimemsikia naibu Spika, Dr Tulia, akitangaza kuwa leo hakutakuwa na kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu kwa sababu hakuna Mbunge hata mmoja aliyejiandikisha kumuuliza swali Waziri Mkuu, makubwa haya!
Nikikumbuka Bunge lililopita, nilikuwa naisubiria kwa hamu sana siku ya Alhamisi kumuona kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni, Freeman Mbowe wakati huo, kupata wasaa wa kumuuliza Waziri Mkuu juu ya sensitive essues. Pia kulikuwa na Wabunge wengine wakina Heche, Mnyika, Msigwa na n.k (mnisamehe kwa kumention waliokuwa Wabunge wa CDM tu kwa sababu hao ndio waliokuwa wanauliza sana maswali - so lirahisi kuwakumbuka) nao walikuwa "Wanamshambulia" Waziri Mkuu kama nyuki kwa maswali ya kina.
Bunge hili hali ni tofauti, yani katika Wabunge wote wale zaidi ya 300 eti wamekosekana hata watatu wakumuuliza waziri Mkuu kuhusu ata ule uchunguzi alioagiza mh. Raisi, Mh. Samia, ufanywe pale BOT katika pesa zilizotoka kuanzia mwezi January hadi March umefikia wapi?. Au kuuliza serikali inampango gani kuwashawishi "waliokimbia" nchini wakati wa utawala wa Mwendazake warudi waje kujenga nchi sasa kwa kuwa mambo ni "swali", kweli jamani?. Hii imenisikitisha sana kwa kweli!, Je nini kimepelekea kuwepo kwa hali hii?
Walasam.
Hakuna wa kuuliza maswaliUkiona hakuna swali ujue kila kitu kinaenda kama kilivyopangwa.
Habari wanajukwaa, ni utaratibu wa kawaida wa kila Alhamisi Wabunge hupata nafasi ya kuuliza maswali kwa Waziri Mkuu na kupatiwa majibu ya moja kwa moja hasa kuhusu mambo nyeti yanayopaswa kupatiwa majibu ya haraka toka serikalini.
Ila hali imekuwa tofauti katika Bunge hili na hali hiyo imedhihilika leo wakati wa kuanza kwa kipindi cha maswali na majibu nimemsikia naibu Spika, Dr Tulia, akitangaza kuwa leo hakutakuwa na kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu kwa sababu hakuna Mbunge hata mmoja aliyejiandikisha kumuuliza swali Waziri Mkuu, makubwa haya!
Nikikumbuka Bunge lililopita, nilikuwa naisubiria kwa hamu sana siku ya Alhamisi kumuona kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni, Freeman Mbowe wakati huo, kupata wasaa wa kumuuliza Waziri Mkuu juu ya sensitive essues. Pia kulikuwa na Wabunge wengine wakina Heche, Mnyika, Msigwa na n.k (mnisamehe kwa kumention waliokuwa Wabunge wa CDM tu kwa sababu hao ndio waliokuwa wanauliza sana maswali - so lirahisi kuwakumbuka) nao walikuwa "Wanamshambulia" Waziri Mkuu kama nyuki kwa maswali ya kina.
Bunge hili hali ni tofauti, yani katika Wabunge wote wale zaidi ya 300 eti wamekosekana hata watatu wakumuuliza waziri Mkuu kuhusu ata ule uchunguzi alioagiza mh. Raisi, Mh. Samia, ufanywe pale BOT katika pesa zilizotoka kuanzia mwezi January hadi March umefikia wapi?. Au kuuliza serikali inampango gani kuwashawishi "waliokimbia" nchini wakati wa utawala wa Mwendazake warudi waje kujenga nchi sasa kwa kuwa mambo ni "swali", kweli jamani?. Hii imenisikitisha sana kwa kweli!, Je nini kimepelekea kuwepo kwa hali hii?
Walasam.
Wanamuogopa nani?Hakuna wa kuuliza maswali
Sababu hao wabunge walipatikana kwa promotion,wanaogopa kuachwa kwenye uteuzi 2025 hivyo wamegeuka washangiliaji.
Wiki hii hii watapeleka hoja ya kumpongeza Mama kwa kuhutubia ma-bunge ya Kenya na kushangiliwaVipi Bunge la CCM linasemaje kwani?
Fimbo za NdugaiWanamuogopa nani?
Fimbo za NdugaiWanamuogopa nani?
Sasa kama haya chama chao haiwatambui wao watauliza nini?Ina maana hata wale Covid-19 na wao wamewekewa operating system ya maccm