KAKA A TAIFA
JF-Expert Member
- Apr 27, 2011
- 566
- 80
Wapinzani mbona wachache sana ukilinganisha na CCM?
Ukitaka kujua Wenje ni nani nenda kamuulize JK na MASHA.Kweli bunge limejaa wahuni wengi sana! Sugu, Wenje, Lema na wengine
Nadhani Sendeka yuko sawa. Bunge limejaa wahuni wanaokesha Rose Garden pale Dodoma wakitomasa makalio ya akina dada huku nchi haina umeme. Kuna wahuni ambao wanawakemea wenzao kwamba ni wapinzani na watafia upinzani huku wao wenyewe wakiwa na vyama vya upinzani makwapani mwao!! Kuna wahuni ambao hoja kwao ni kuzomea! Kuna mhuni ambaye alimpiga kibao na kumtolea bastola mpinzani wake wakiwa kwenye kikao cha kimila huko Orkasmet!! Wahuni wahuni kila kona ya Bunge!
si huyu yule sendeka aliyempiga ngumi jamaa wa ccm (ole milia) arusha! Anajua maana ya uhuni kweli???!!ole sendeka amemuomba rais jakaya kikwete avunje bunge kwa sababu limejaa wahuni.
Source: Mwananchi.
Wahuni ni wale viongozi wanaoongoza kwa kuweka vimada katika ngazi mbalimbali za uongozi. wahuni ni wale wanatumia kodi zetu kwenda kustarehe na vimada. wahuni ni wale wanaotetea maslahi ya matumbo yao mjengoni. Sendeka anashtaki kwa nani? Kesi ya mwanakondoo kwa CHUI!!! hakimu CHUI???!!Ole Sendeka amemuomba rais Jakaya Kikwete avunje bunge kwa sababu limejaa wahuni.
Source: mwananchi.
Ole Sendeka amemuomba rais Jakaya Kikwete avunje bunge kwa sababu limejaa wahuni.
Source: mwananchi.
Ole Sendeka amemuomba rais Jakaya Kikwete avunje bunge kwa sababu limejaa wahuni.
Source: mwananchi.
Ole Sendeka amemuomba rais Jakaya Kikwete avunje bunge kwa sababu limejaa wahuni.
Source: mwananchi.
Ole Sendeka amemuomba rais Jakaya Kikwete avunje bunge kwa sababu limejaa wahuni.
Source: mwananchi.
huyu bwana ni mbunge au mwana apollo toka mirerani hayuko sawa!si huyu yule sendeka aliyempiga ngumi jamaa wa ccm (ole milia) arusha! Anajua maana ya uhuni kweli???!!
Mkuu umemaliza kila kitu. Hapa sina cha kuongeZA bali kukupongeZACcm walipanda kwenye mti mreeefu wakarelax hk wakila kuku kwa mrija na soda na kuwapumulia kwa "makalio" wananch wenye njaa kali ghafla wakatokea chadema wanautikisa mti kwa kasi ya ajabu ccm wanachomoka kileleni mithili ya jani kavu na kila tawi wanalobembea nalo ili kujinusuru wasianguke linavunjika, ccm walizoea vya kunyonga, Watanzania tegemeeni vituko zaid tk kwa ccm
huyu mama kimeo, ndo maana hana mumeHakuna jambo linalonikera kama huyu ajuza MAKINDA anavyoliendesha bunge...anatumia hisia zake za ki ajuza ajuza kuendesha mambo nyeti kwa kujficha ktk mwamvuli wa kanuni, mbona ushahidi wa mh.LEMA aloukomalia hadi leo kaukalia...au kaenda kuweka pambo nyumbani kwake...?