Bunge Linaendelea Ila Tv stations Zipo kimya, wanaficha nini?

Bunge Linaendelea Ila Tv stations Zipo kimya, wanaficha nini?

uyu mkurugenz wa tbc anapaswa kuchunguzwa kwa makin haiwezekan kipindi cha bunge wanaonesha kilimo cha mpunga
 
Hamjasikia tu? TBC imeacha kutangaza live vipindi vya bunge. Vitarushwa kama marudio saa nne usiku kwa saa moja tu. Issue muhimu tu ndio zitakuwa live
 
Leo wazir wa nape amasema tbc itapunguza matangszo na itakua na utaratibu ws kurudia matangazo hayo kwwnye kipind cha leo katika bunge kuwnzia saa nne usiki adi tano na kwa sass tbc itajikits kwenye mziki burudan ns kazi zibgine kwa kile kinachosemwq kutokua na bajet ya kutosha
 
kama kunajambo baya ambalo limewahi kufanyik toka kuanza kwa utawala wa jpm, ni hili la tbc kutoonesha live bunge, litaitia doa serikal yake,
 
Na kile kituo kikubwa cha televisheni cha mwana ccm mkongwe kilichotaka kufungiwa kisa kodi nacho hakionyeshi?
 
Mtamkumbuka sana JK kwa kuwapa wapinzani kila kitu ili vyama vyao vikue. Naona dalili za wazi za ubakaji wa demokrasia chini ya uongozi wa kidekteta wa serikali ya JPM.
 
TBC wataonesha (marudio ya) bunge USIKU, sawa. Sikuwa na wasiwasi. Lakini sasa hivi Bunge linaendelea Star Tv hawaoneshi, Azam wamekatisha ghafla, ni nini kinaendelea? Sitaki kuamini hata vituo vingine wanaweza kuacha kuonesha bila kupigwa mkwara. Huu ndo muelekeo tunaoutaka kweli?
 
Tatizo wabunge wamekuwa na utoto mwingi toka siku ya hotuba ya JPM.

Waende kimya kimya ndo watajadili issues vizuri maanake kamera zikiwashwa tu,wanaanza uchekibob.

Hata Azamtv na Startv bora waache tu ili wauza sura wajikite kujadili mambo yenye tija kwa taifa tofauti na sasa kazi kutafuta kiki kwa wapiga kura kwa mambo ya kipuuzi kisa wako live runingani.

Bora waoneshe Ndondo Cup kuliko kodi yangu itumike kuonesha live utoto wa watu wazima ndani ya suti wakizomea.
 
Yaani TBC wanajua kabisa bunge limeanza Dodoma. Ila cha kushangaza badala muonyeshe matangazo ya bunge mko busy na mziki...

Tafadhali Magufuli, tumbua mkurugenzi wa TBC.... Hajui kazi yake na ni wa ovyo kabisa
Kikwete aliwadekeza sana. sasa ngoja muone upande wa pili wa shilingi.
 
Back
Top Bottom