Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,193
...mkataba uchwara fulani hivi eti wa ku monitor utendaji kazi wa wafanyakazi wa Tanesco tena kwa hela yote ile etiMkataba gani tena???
Hilo hilo la Ndugai km angalau anataka kurejesha heshima japo kidogo kutoka kwa wananchi afanye hivyo.Bunge gani la kujadili mambo nyeti kama hayo?
Haijalishi lkn kwenye mkataba ule kunaupigajiNyani ni walewale na msitu ni ule ule
Hizi aya tatu umepoteza muda tu, sisemi kwa nia mbaya ila huo ndio ukweli. Bunge lilivyojaa vilaza wataona kuwa wanawapa credit Upinzani yaani akili zao ziko hapo tu. Ndugai ataishia kukushangaa kama atabahatika kupelekewa hizi taarifa.Tunaomba Bunge letu liunde kamati maalum ya wabunge mahili kwenye kada hiyo ili iweze kuchunguza kwanza uhalali wa mkataba ule na nini faida zake.
Pia endapo ikabainika mkataba ule haukuwa na umuhimu wowote basi Bunge liiwajibishe Serikali kwalo.
Ndugai, kupitia uchunguzi wa Bunge kuhusu huo mkataba angalau kwa uchache wa imani wananchi wataanza kukuamini tena.
Sukuma gang kazini nyie buku ngapi mnajua ? Jirani Cheng na zama nimepita......mngetulia tu Mpare heshima ndogo iliobakia hiyo vita ya keyboard hutawezaKwa nini uongozi wote wa Tanesco ulifutwa kazi kuanzia Waziri Kalemani na Bodi yote na Mkurugenzi wake mkuu?!
Kwa nini wakuu wa Idara wote walihamishiwa utumishi ili wapangiwe kazi zingine?!
Kwa nini mara baada ya yote hayo kutendeka Tanesco kupitia safu mpya ya uongozi waliingia mkataba wa bilioni 65 Tsh kwa ghafla na kwa haraka isiyotarajiwa?!
Ni kweli mkataba ule wa mabilioni ya Tshs ulikuwa muhimu mno kuliko hizo pesa zingeelekezwa kwenye matumizi chanya ya kutatua changamoto lukuki zilikabiliao shirika hasa kwa kauli za Waziri husika kudai lipo tatizo la ukarabati wa miundombinu na zile fedha si zingeelekezwa kule?!
Kwa nini sasa huo mkataba na wahindi uingiwe ghafla namna ile na je Baraza la mawaziri lilitoa baraka za uingiwaji wake?!
Tunaomba Bunge letu liunde kamati maalum ya wabunge mahili kwenye kada hiyo ili iweze kuchunguza kwanza uhalali wa mkataba ule na nini faida zake.
Pia endapo ikabainika mkataba ule haukuwa na umuhimu wowote basi Bunge liiwajibishe Serikali kwalo.
Ndugai, kupitia uchunguzi wa Bunge kuhusu huo mkataba angalau kwa uchache wa imani wananchi wataanza kukuamini tena.
Hapana, kelele zipigwe tu, kukaa kimya ndio watachota kila kitakachotokea mbele yao.Hata hivyo nafikiri tumechelewa
Hivi hadi sasa ni nani mhimili wa kuaminiwa🤔Kwa nini uongozi wote wa Tanesco ulifutwa kazi kuanzia Waziri Kalemani na Bodi yote na Mkurugenzi wake mkuu?!
Kwa nini wakuu wa Idara wote walihamishiwa utumishi ili wapangiwe kazi zingine?!
Kwa nini mara baada ya yote hayo kutendeka Tanesco kupitia safu mpya ya uongozi waliingia mkataba wa bilioni 65 Tsh kwa ghafla na kwa haraka isiyotarajiwa?!
Ni kweli mkataba ule wa mabilioni ya Tshs ulikuwa muhimu mno kuliko hizo pesa zingeelekezwa kwenye matumizi chanya ya kutatua changamoto lukuki zilikabiliao shirika hasa kwa kauli za Waziri husika kudai lipo tatizo la ukarabati wa miundombinu na zile fedha si zingeelekezwa kule?!
Kwa nini sasa huo mkataba na wahindi uingiwe ghafla namna ile na je Baraza la mawaziri lilitoa baraka za uingiwaji wake?!
Tunaomba Bunge letu liunde kamati maalum ya wabunge mahili kwenye kada hiyo ili iweze kuchunguza kwanza uhalali wa mkataba ule na nini faida zake.
Pia endapo ikabainika mkataba ule haukuwa na umuhimu wowote basi Bunge liiwajibishe Serikali kwalo.
Ndugai, kupitia uchunguzi wa Bunge kuhusu huo mkataba angalau kwa uchache wa imani wananchi wataanza kukuamini tena.
Tuupigieni kelele huo mkataba maana una harufu zote za ufisadi.Hata hivyo nafikiri tumechelewa
Haijalishi kikubwa tu push kwa kelele kubwa kuhusu hilo mkataba ule ni wa ufisadiHivi hadi sasa ni nani mhimili wa kuaminiwa🤔
Bunge lipi? Hili ambalo linapokea maagizo ya Ikulu? Tulieni. Mliyokuwa mnapitisha wabunge wa chama kimoja hakujua madhara yake sasa mkae kwa kutulia muibiwe mpaka akili ziwakae.Kwa nini uongozi wote wa Tanesco ulifutwa kazi kuanzia Waziri Kalemani na Bodi yote na Mkurugenzi wake mkuu?!
Kwa nini wakuu wa Idara wote walihamishiwa utumishi ili wapangiwe kazi zingine?!
Kwa nini mara baada ya yote hayo kutendeka Tanesco kupitia safu mpya ya uongozi waliingia mkataba wa bilioni 65 Tsh kwa ghafla na kwa haraka isiyotarajiwa?!
Ni kweli mkataba ule wa mabilioni ya Tshs ulikuwa muhimu mno kuliko hizo pesa zingeelekezwa kwenye matumizi chanya ya kutatua changamoto lukuki zilikabiliao shirika hasa kwa kauli za Waziri husika kudai lipo tatizo la ukarabati wa miundombinu na zile fedha si zingeelekezwa kule?!
Kwa nini sasa huo mkataba na wahindi uingiwe ghafla namna ile na je Baraza la mawaziri lilitoa baraka za uingiwaji wake?!
Tunaomba Bunge letu liunde kamati maalum ya wabunge mahili kwenye kada hiyo ili iweze kuchunguza kwanza uhalali wa mkataba ule na nini faida zake.
Pia endapo ikabainika mkataba ule haukuwa na umuhimu wowote basi Bunge liiwajibishe Serikali kwalo.
Ndugai, kupitia uchunguzi wa Bunge kuhusu huo mkataba angalau kwa uchache wa imani wananchi wataanza kukuamini tena.
Wakat wa JPM uongoz wote wa tanesco ulifutwa kuanzia board, mkurugenz na management je uamuzi ulichungunzwa?Kwa nini uongozi wote wa Tanesco ulifutwa kazi kuanzia Waziri Kalemani na Bodi yote na Mkurugenzi wake mkuu?!
Kwanini wakuu wa Idara wote walihamishiwa utumishi ili wapangiwe kazi zingine?!
Kwanini mara baada ya yote hayo kutendeka Tanesco kupitia safu mpya ya uongozi waliingia mkataba wa bilioni 65 Tsh kwa ghafla na kwa haraka isiyotarajiwa?!