Kuna baraza la CCMKwani Tanzania kuna Bunge? Tuanzie hapo
Kenya huwa wanaleta Medali na Medali hawajahi itwa Bungeni zaidi ya Ikulu. Nchi nyingi Bungeni ni sehemu nyeti sana, Bongo hata Mziki unaweza pigwa kwenye ule ukimbiTulia anatafuta Kiki kizembe Sana, Sasa wakiingia bungeni ndio inaongeza Nini?
Huyu mdada anajua bunge lake halina mvuto kwa watz , analazimisha mvutoKenya huwa wanaleta Medali na Medali hawajahi itwa Bungeni zaidi ya Ikulu. Nchi nyingi Bungeni ni sehemu nyeti sana, Bongo hata Mziki unaweza pigwa kwenye ule ukimbi
Dah washatiwa nuksi...Leo Waziri ametoa ombi la kuvunja kanuni na kuruhusu timu ya Serengeti girls na viongozi wake kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge.
Bunge limechukua hatua hiyo ili kuwapongeza baada ya kufuzu kushiriki michuano ya kombe la dunia kwa wanawake chini ya miaka 17 yatakayofanyika nchini India.
Spika amewataka warudi na kombe ili wakae tena Bungeni na amewatakia heri.