POMPO
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 6,690
- 2,400
Bunge limesitisha mjadala / report ya sakata la ITPL / Escrow account.
Hii inatokana na mapema leo. Mh. Lukuvi kutoa ratiba mpya ya shughuli za bunge na kushindwa kuonyesha ni lini ratiba ya kuruhusu mjadala huo.
Mbunge wa CUF ameonyesha wasiwasi huo pamoja na Sugu.
Baada ya hoja hiyo ya ratiba mpya.
Mh. Ndungai kasema mjadala utakuwa wa jumla kutoka kwa kamati ya PAC ya Zitto Kabwe. Ndio atasoma hiyo 27 Nov. 2014.
Chukuo.
Swali la kujiuliza kutokabkwa wabunge:
Ni lini kamati ilisha wasilisha mjadala badala ya muhusika ambayo ni ofisi ya Waziri Mkuu?
Kamati ya Zitto wabunge na wana nchi hawana imani nayo. Wanamtaka PM atoe hoja. Kwa sababu report hiyo imekabidhiwa ofisini kwake.
Chazo: ITV