Bunge lasitisha mjadala wa Tegeta Escrow Account

Bunge lasitisha mjadala wa Tegeta Escrow Account

Taarifa itawasilishwa kwa kamati ya PAC kisha wao ndiyo wataoileta bungeni baada ya kuipitia, ila Ijumaa ya wiki hii ndiyo tarehe ambayo imepangwa kuwasilishwa bungeni.
 
= kilichojiri

Kosa la kiuandishi halibadilishi mantiki as long msomaji kaelewa kilichokusudiwa. Tafuta namna nyingine ya kutetea uozo na wizi unaofanywa na nyie mlio serikalini na sio kung'ang'ania makosa ya sarufi au alfabeti wakati ujumbe uliokusudiwa hata mbumbumbu atauelewa.
 
Anaweweseka baada kusikia kuna viongozi wawili wakuu wa upinzani wamehusika.

Ingekuwa ulichokiandika hapa ni kweli m.k.w.e.r.e na nyie wote mnaoiba kwa mgongo wake mbona mngewashika kindakindaki hao "wapinzani wenye hatia" na kuwabebesha wao zigo lote?
 
Kosa la kiuandishi halibadilishi mantiki as long msomaji kaelewa kilichokusudiwa. Tafuta namna nyingine ya kutetea uozo na wizi unaofanywa na nyie mlio serikalini na sio kung'ang'ania makosa ya sarufi au alfabeti wakati ujumbe uliokusudiwa hata mbumbumbu atauelewa.

Kosa la lugha, si la kiuandishi. Kuwa makini.
 
mchezo umeshaanza, namsubiri sana yule mzee aliyemwita mwenzake tumbili halafu tuone. maana hali tete, na bunge lisipojadili hili jambo litakuwa limeshindwa kuisimamia serikali, badala yake itakuwa ni sehemu ya serikali.

Wewe ulikuwa hujui?
 
Anaweweseka baada kusikia kuna viongozi wawili wakuu wa upinzani wamehusika.

Ndg nawee ujiangaliege yaani Usiweweseke ww ambae Serikali nzima inatuhumiwa sembuse yy viongoz wawili,,,,!! Aaaa
 
Maana ya escrow mnajua?

Kuijua au kutoijua haina maana yyt watu wanataka PESA zirudi 200b Pipo wanakufa hakuna dawa Prof,,yuko US sasa kujua maana ya.hiyo.kitu itasaidia.nn
 
Mnasumbuka na jambo ambalo mahakama ilishaamua kama kweli wajanja mkakate rufaa siyo kuongea kwenye magazeti.
 
Bunge limesitisha mjadala / report ya sakata la ITPL / Escrow account.

Hii inatokana na mapema leo. Mh. Lukuvi kutoa ratiba mpya ya shughuli za bunge na kushindwa kuonyesha ni lini ratiba ya kuruhusu mjadala huo.

Mbunge wa CUF ameonyesha wasiwasi huo pamoja na Sugu.

Baada ya hoja hiyo ya ratiba mpya.

Mh. Ndungai kasema mjadala utakuwa wa jumla kutoka kwa kamati ya PAC ya Zitto Kabwe. Ndio atasoma hiyo 27 Nov. 2014.

Chukuo.
Swali la kujiuliza kutokabkwa wabunge:

Ni lini kamati ilisha wasilisha mjadala badala ya muhusika ambayo ni ofisi ya Waziri Mkuu?

Kamati ya Zitto wabunge na wana nchi hawana imani nayo. Wanamtaka PM atoe hoja. Kwa sababu report hiyo imekabidhiwa ofisini kwake.

Chazo: ITV

Acha uongo,Lukuvi hakuwepo bungeni leo asubuhi.Mh Mwandosya ndio alikuwa amesimama kukaimu na Sitta akakaimu nafasi ya PM.
 
Acha uongo,Lukuvi hakuwepo bungeni leo asubuhi.Mh Mwandosya ndio alikuwa amesimama kukaimu na Sitta akakaimu nafasi ya PM.

Kutoa ratiba siyo lazma uwepo. Jitambue!
 
Tafadhali mwenye kuweza aweke hii picha sambamba na picha ya Kikwete akiwa katika wodi ya hospitali kule anakotibiwa!! Zile picha zilizotolewa na Ikulu; hizo picha zitafikisha ujumbe stahiki!!

1415643672119.jpg
 
Bunge limesitisha mjadala / report ya sakata la ITPL / Escrow account.

Hii inatokana na mapema leo. Mh. Lukuvi kutoa ratiba mpya ya shughuli za bunge na kushindwa kuonyesha ni lini ratiba ya kuruhusu mjadala huo.

Mbunge wa CUF ameonyesha wasiwasi huo pamoja na Sugu.

Baada ya hoja hiyo ya ratiba mpya.

Mh. Ndungai kasema mjadala utakuwa wa jumla kutoka kwa kamati ya PAC ya Zitto Kabwe. Ndio atasoma hiyo 27 Nov. 2014.

Chukuo.
Swali la kujiuliza kutokabkwa wabunge:

Ni lini kamati ilisha wasilisha mjadala badala ya muhusika ambayo ni ofisi ya Waziri Mkuu?

Kamati ya Zitto wabunge na wana nchi hawana imani nayo. Wanamtaka PM atoe hoja. Kwa sababu report hiyo imekabidhiwa ofisini kwake.

Chazo: ITV

Nimeshitushwa na nikabaki nimeduwaa kusikia hiyo taarifa,
Ila order imetoka kwa Prof JK, HUtaki unaacha
 
Uzoefu kutoka bmk unaonesha masuala muhimu ( sura 1 &6 ) viliwekwa mwisho baada ya kuchukua karibia posho zote wakapitisha walichokitaka. Kwa hili la Escrow limewekwa mwisho lakini pia ktk utata wa kulijadiri au kutolijadiri.

Nionavyo mimi halitajadiliwa....picha hiyo inatokana na maelezo ya Lukuvi.
 
Back
Top Bottom