dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,527
Mkuu tangu lini mhimili wa bunge unajadili maamuzi ya mhimili wa mahakama? Kwa tarifa yako zitto na mkono ndiyo waliohongwa sana kuliko wabunge wote tena wao wamehongwa na waingereza kupitia bengi yao.
Ndugu mara nyingi nimekuwa nikifatilia sana comment zako lkn niwe mkweli hadi sasa nimeshindwa kugundua km unayoongea humu huwa unamaaanisha au Nistori zakupitishia cku tu,,,! Hebu niondolee shaka ndg yangu Utakuwa umenisaidia sana.labda na mtu mwingine mwenye shaka yangu ili nitakapoendelea kuona comment zako nijue huyu ndg ndivyo alivyo,,,!