Mnasumbuka na jambo ambalo mahakama ilishaamua kama kweli wajanja mkakate rufaa siyo kuongea kwenye magazeti.
Aliyehukumu hiyo kesi nae imeonekana kalipwa malipo yasioeleweka toka akaunti ya malipo ya Escrow iliyokua Mkombozi Bank. Fafanua hilo kidogo mkuy!