Kwa mujibu wa barua ya malalamiko kwa DR.Kashishilah Thomas majina ya waliomaliza NOV 2008 na hawana uzoefu hata wa miezi sita baadhi yao ni TUSAJINGWE,MUNGILE,CATHERINE MWIHULU,SALVATORY MKUDE,JOSEPHAT QORRO,MTAKI,EVARIST,JASMINI BABLIA,MORORO,WAMBURA,CATHELINE,IRINE,MWIHULA hao wote ni darasa moja wamehitimu NOV 2008.
UNAPOCHUKUA WATU WA DARASA MOJA KAMA WANA WEAKNESS BASI NI WOTE ILA UKIWEKA MCHANGANYIKO WANAWEZA KUJIFUNZA KWA WENZAO AU WAKAWAFUNZA WENZAO.
CHANZO CHENYEWE KUNA DADA MHITIMU WA ST.AUGUSTINE AMBAYE YUKO HR BUNGENI, AKISHIRIKIANA NA DAP NOMBO KWA BARAKA ZA DR.KASHISHILAH WAMEKUWA WAKIFANYA MAZINGAOMBWE HAYA KWA MUDA MREFU.
Sipingi darasa zima kuitwa kwenye interview ila kama wana MERITS au sifa husika cha ajabu creteria zilizowekwa za kuomba kazi hiyo hawana kama uzoefu wa miaka miwili.Nyegezi haiwezi kuifikia UDsm HATA iwe vipi?fuatilia UNIVERSITY LEAGUE TABLE kwa Africa utaona Udsm ina nafasi gani na Nyegezi hakuna anayeijua.
NYEGEZI haiwezi kupambana na Tumaini acha Udsm.labda ijipime na Kairuki au Bukoba University.
kwanza si vyema kutaja majina ya watu bila idhini japokuwa unahoja. Pili kuitwa interview watu wa darasa moja siyo ajabu, mimi nilifanya interview pale TBL DSM mwaka 2006 na alikuwa anatakiwa maintenance engineer tukakutana watu tisa wote darasa moja na mmoja wetu akachukuliwa. Nadhani acha vijana wenzetu wachape kazi cha msingi wasijiingize kwenye ufisadi.

hili naona ni tatizo mkuu mimi sioni kama kulikuwa na mkataba lazima watu fulani kutoka ktk chuo fulani lazima wawepo ktk shortlist.Labda wewe nieleze kidogo ni kivipi hao jamaa wamezulumiwa.
Kwa habari nilizonazo toka ndani ya Bunge, hizi kazi waliapply watu zaidi ya 2000. Inakuwaje wachaguliwe watu wa chuo kimoja, same intake tena wasio na uzoefu kama kweli hicho kilikuwa ni moja ya vigezo?
1.Na kiwango cha kufaulu wajili wajanja hawaangalii sana wanachoangalia je nini unakifahamu kuhusiana na kazi waliyokuitia.Pia experience mwajuwa je? hawo jamaa hawana experience?? kumaliza shule 2008 si kigezo kabisa.
2.Mtu iga first class yako andika CV yako shagharabala nenda kwenye interview ushindwe kuwakilisha uone jinsi utakavyopigwa bao na watu wa third class..
3.Ngoja nikupe siri moja wale jamaa wanaofanya usaili ukishaweka tu sijui umesoma chuo gani 90% umeshamwagwa.Na ukiweka sijui ma vyeti yako nayo unaongeza 9% zinakuwa zimefika 99% za kumwagwa.
Mwezako anakuwekea tu mimi nina first digrii ktk uandishi wa habari bila kutia mbwembwe nyingi. Huyooo yupo ktk shortlist.
Kwa habari nilizonazo toka ndani ya Bunge, hizi kazi waliapply watu zaidi ya 2000. Inakuwaje wachaguliwe watu wa chuo kimoja, same intake tena wasio na uzoefu kama kweli hicho kilikuwa ni moja ya vigezo?
Dowans Vs Ndege ya Rais(aka. Air Majani or Air Mramba) Hivi kina Mwakyembe hawakujua Air Mramba ni mtumba? au mtumba ni mitambo tuNani kakwambia kuwa Bunge letu linafanya mambo yake kwa sheria na kanuni. Record zinaonyesha kuwa linafanya mambo yake kwa kujuana na kupendeleana.
Mifano:
1. Kesi ya Malima vs Mengi na kesi ya Karamagi vs Zitto. Wote walituhumiwa kusema uongo Bungeni. Mmoja (Malima) hakuchukuliwa hatua yeyote licha ya kumkashifu Speaker, wakati zitto alisimamishwa kwa muda.
2. Kesi ta IPTL vs Dowans. Wote wanauza mitambo chakavu. Mmoja (IPTL) Bunge linapiga chapuo inunuliwe, mwingine (Dowans) linakataza. Sheria ni ile ile moja. Huku inakataza na kwengine inaruhusu..
waacheni wafu wazike wafu wao
Bunge letu kama taasisi limetangaza nafasi za kazi mbali mbali hivi karibuni..........
Kilichotokea nafasi hizo zilikuwa na watu maalum wameandaliwa.
Nadhani tunahitaji data zaidi kuthibisha hii tuhuma. Nani aliwaandaa?
Moja ya masharti kama kuwa HANSARD REPOTER lazima uwe na na diploma au digrii ya mambo ya habari na uzoefu wa MIAKA MIWILI.
cha ajabu wahitimu zaidi ya 15 toka chuo kimoja,darasa moja, ST.AUGUSTINE UNIVERSITY ambao wamehitimu NOV 2008 walitakiwa wawe na uzoefu wa Miaka miwili, wote wamekuwa short listed na wameitwa kwenye interview.
Well, kwani mtu mwenye diploma na uzoefu wa kazi miaka miwili au zaidi hawezi kwenda chuo kikuu kuongeza elimu? Au akienda chuo kikuu ule uzoefu wake unakoma? Kuna uwezakano mkubwa hao kumi na watano walikuwa na diploma na uzoefu wa kazi wa miaka angalau miwili wakati wanajiunga na chuo. Hii peke yake si tayari inakidhi mashari ya kazi iliyotangazwa (Hansard repoter)?
Nadhani tunahitaji kupata habari zaidi kuhusu hao 15 waliokuwa shortlisted kuthibitisha kama kuna ufisadi umefanyika.
Nadhani tunahitaji data zaidi kuthibisha hii tuhuma. Nani aliwaandaa?
Well, kwani mtu mwenye diploma na uzoefu wa kazi miaka miwili au zaidi hawezi kwenda chuo kikuu kuongeza elimu? Au akienda chuo kikuu ule uzoefu wake unakoma? Kuna uwezakano mkubwa hao kumi na watano walikuwa na diploma na uzoefu wa kazi wa miaka angalau miwili wakati wanajiunga na chuo. Hii peke yake si tayari inakidhi mashari ya kazi iliyotangazwa (Hansard repoter)?
Nadhani tunahitaji kupata habari zaidi kuhusu hao 15 waliokuwa shortlisted kuthibitisha kama kuna ufisadi umefanyika.
Na mara nyingi wanaosoma vyuo hivi japo si mara zote wengi wao huwa ni private na huwa wametoka makazini, tofauti na vyuo kama udsm mzumbe n.k.
kweli tunahitaji vielelezo kuthibitisha tuhuma hizo kusema eti darasa moja ama hawana experience sio kigezo kabisa.

Wameandaliwa na NOMBO,Kashishillah na dada mwenye jina lenye initial ya J yuko HR bungeni.huyu ndiye alikuwa akipita kusema kuwa wambieni watu wa ST.Augustine wajaze nafasi ni zao.
kuhusu kumaliza shule ni kweli unaweza kumaliza shule na ukawa na uzoefu.wapo vijana waliachwa wamemaliza 2008 lakini wana diploma na uzoefu wa miaka sita na saba pamoja na digri hapo ndipo polipozua maswali mengi.
orodha ya vijana wa St.Augustine-Nyegezi ipo na CV zao hakuna mwenye uzoefu huo na vyote vimetumwa sehemu mbali mbali kama vielelezo.
hata pass zao zio nzuri kushindwa walioachwa.suala hili zito hakuna wa kulitolea maelezo ni kama vile za mwizi arobaini.
Na mara nyingi wanaosoma vyuo hivi japo si mara zote wengi wao huwa ni private na huwa wametoka makazini, tofauti na vyuo kama udsm mzumbe n.k.
kweli tunahitaji vielelezo kuthibitisha tuhuma hizo kusema eti darasa moja ama hawana experience sio kigezo kabisa.
Hawana uzoefu,wametoka O level,A level halafu chuoni.wengi wamesoma kwa mikopo ya serikali sio private hawajatoka kazini.
kama wewe mtetezi wa kutokuwa na uzoefu wiki mbili zilizopita JK alilaumiwa sana humu kuwa kamchagua Jaji kiongozi Jaji Fakihi Jundu eti mwenye uzoefu mdogo kawaacha wenye uzoefu wa muda mrefu mbona hukujibu majibu haya? huyo alikuwa jaji mmoja tena mwenye uzoefu wa miaka 31, vipi kama angechagua majaji 15 au 20?
kwenye ajira ndugu yangu kuna kitu kinaitwa Equal opportunity policy lazima kichukue nafasi baada ya waombaji kuwa na minimum requirements.
CV inaonekana huijui kabisa na naamini hujawahi kufanya kazi professional labda huko Alcatel ulikwenda kwenye Godown lao kushusha mizigo yao ndio wakakuchukua huku ukiwa mwanafunzi.
naomba jifunze kuandika CV kupitia hapa www.targetjobs.co.uk>job hunting tools.tizama six steps za CV.
Naamini kushindwa kujua CV professional inataka nini ?ndio ilikukwamisha kushindwa kuwapatia wachezaji wetu timu za kucheza huko ughaibuni uliko.
Maximo anaweza kuchukua wachezaji wa timu ya Taifa wote kutoka Yanga kwa vile mabingwa ila anachanganya hata wachezaji wa Ruvu Jkt.kuwajaza wanafunzi wa darasa moja toka Nyegezi sio professional