Bunge lajigeuka: Tutaendelea kurusha 'LIVE' vikao vya Bunge...

Kama kuna mtu ana nakala ya kashilila wakati alipotoa tamko la kusitisha aiweke hapa
 
KWENYE TAARIFA YA HABARI YA LEO USIKU ETI MSEMAJI WA BUNGE ANADAI WATU WALIMUELEWA VIBAYA SPIKA...ETI SI KWAMBA WANATAKA KUZUIA MATANGAZO YA BUNGE KUONYESHA BALI WANATAKA KUBORESHA....AJABU ETI KUBORESHA KWENYEWE NI KWA KUUNDA CHOMBO MAALUMU KITAKACHUKUWA KINARUSHA MATANGAZO CHENYE ....JE NIULIZE NDUGU ZANGU KUUNDA CHOMBO KIMOJA NA KUNYIMA WENGINE HAKI NDO KUBORESHA....AU KIINIMACHO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:wave:
 
JAMHURI YA MUUNGANO WATANZANIA

BUNGE LA TANZANIA

__________

TAARIFA MAALUM KUHUSU BUNGE NA KAMATI

______________

Ofisi ya Bunge imepokea kwa masikitiko taarifa kuhusu tafsiri ya kusitisha matangazo ya Shughuli za Bunge na Kamati, kinyumena jinsi ilivyoakisiwa katika mazungumzo ya pamoja kati ya Wanahabari na Katibuwa Bunge.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa, Bunge la Jamhuri ya Muungano halina mpango wa kusitisha matangazo ya Bunge wala Kamati zake, ambazo kwa mahitaji ya sasa nazo zinapaswa kurushwa moja kwa moja kama sehemu ya mpango kabambe wa kuwapasha Wananchi yanayojiri katika Uendeshaji bora wa Shughuli za Bunge.
Dhamira ya Bunge ni kuhakikisha kuwa mpango kabambe uliopo ni kumfikia kila Mtanzania alipo na kwa uwezo alionao aweze kupata na kushiriki katika uendeshaji wa shughuli za Bunge.

Hivyo Mpango mkakati uliopo utakuwakuboresha mawasiliano ya kawaida kupitia Teknolojia ya Mawasiliano TEKNOHAMA, kwa wale watakaokuwa na uwezo wa kupata huduma za mtandao, na tayari tumeanza kurusha live video striping kupitia tovutiya Bunge, na hata wale watakaopenda kujua zaidi, basi wanaweza kupitia majadiliano ya Bunge kwa nyakati tofauti.
Aidha, kwa wale watakaokuwa na uwezo wa kushika mawimbi ya Radio, basi wataweza kufuatilia majadiliano ya Bunge katika Radio ya Bunge inayotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni katika masafa yanayoweza kupatikana nchi nzima, hii ikiwa ni jitihada za ziada kwa kuwa kunaRadio zinazotoa huduma hiyo ya moja kwa moja vizuri hadi sasa, kama vile RTD,BBC, STAR etc. Aidha, kwa wale watakaoweza kuwa na uwezo wa kumudu Luninga, basi Bunge limejipanga kuwapatia huduma hiyo moja kwamoja kupitia katika mtandao wake mpya utakaokuwa ukirushwa masaa 24, baada ya mitambo mipya ya kunakili majadiliano Bungeni na katika Kamati kusimikwa.

Hivyo basi utaratibu uliopo sasa utaendeleakutumika ambapo vituo vyote vya Television vitapewa fursa ya kurusha matangazokwa utashi wao bila kuwekewa mipaka ya aina yoyote sambamba na matangazoyatakayotolewa na mitandao ya Bunge.
Utaratibu huu unatokana na uamzi wapamoja kati ya Bunge na Tume ya Mawasiliano, ambapo vipindi vyote vya Bungevitakuwa vinarushwa bila kudhaminiwa na taasisi yoyote zaidi ya mamlaka tajwajuu ya mawasiliano TCRA. Hivyo basi kwa maelezo hayo ni dhahirikwua Bunge halina mpango wa kusitisha matangazo ya TV wala yale ya Radio auTecknohama, bali linatarajia kuboreshaupatikanaji wa huduma kwa utaratibu ulio rahisi na unaoweza kusimamiwa na pandezote, yaani Bunge na Wananchi.

Aidha, kwa utaratibu uliopo sasa,Bunge halirushi matangazo ya aina yoyote, bali hutoa nakala ya majadiliano hayokwa mtu yeyote atakaye au TV na Radio yoyote kupitia katika mitambo yake. TV zote zinazorusha matangazo ya Bunge hupatafeedtoka katika mitambo ya Bunge, napale wanapoona yafaa basi huomba kutumia mitambo yao na hivyo kutumia fursahiyo kuingiza Camera na Wanahabari ndani ya kambi la Bunge kwa minajirihiyo.

Kuzingatia mabadiliko tajwa, utaratibuhuo umepewa ukomo, ili sasa hapatakuwa na fursa ya kuingiza Camera ndani yaKumbi za Bunge, bali wote watakaotaka kurusha matangazo ya Bunge kwa utashiwao, watapata clear feed toka katikamitambo ya Bunge na hivyo kurusha livevipindi vyote vya Bunge bila kuhaririwa kama ilivyonakiliwa katika makala mbalimbali. Hata hivyo utaratibu huu wa kutumia Camerakatika Kumbi utaendelea katika Kamati za Bunge, hadi hapo mitambo mipya ya mawasilianoitakapofungwa katika Kumbi zote za Kamati.
Hivyo basi, ili kwenda sawia nataratibu hizo, Bunge litaendesha zoezi la kuwatathmini Waandishi wote wa habariza Bunge na kuwasajili kwa vigezo vitakavyoafikiwa kati ya Baraza la Habari,Idara ya Habari na Bunge lenyewe.

Aidha ili kulinda heshima na maadiliya utangazaji, Bunge litatoa utaratibu (Codeof Conducts for Media broadcasting) wa namna ya kunakili na kurushamatangazo ya Bunge bila kujali yanarushwa kwa utaratibu upi. Hili litasaidia kuweka misingi bora yamawasilaino na hivyo kuwapa fursa Wananchi kujua hali halisi ya matukio yotendani ya Bunge na katika Kamati, bila kuegemea upande wowote (Non Partisan).

Hivyo basi, wakati zoezi la maboreshohayo likiendelea, Wananchi watajulishwa kila hatua na matarajio tajwa na kwambatunaendelea kusisitiza tena, Wananchiwasiwe na hofu juu ya taarifa zilizopewa uzito usio stahili za kusitishamatangazo ya Bunge, ambao hazikuwa sahihi na pia hazikuainisha zoezi zima lamaboresho ya upatikanaji na usambazaji wa habari za Bunge.

Tunasikitika kwa usumbufu uliowasibuwote walioakisiwa na taarifa hiyo.

Dr. Thomas D.Kashililah

KATIBUWA BUNGE

Wakati Taasisi binafsi na za umma Duniani, zinajitahidi kuboresha utendaji wake kwa ku - outsource yaani kujipunguzia mrundikano wa majukumu kwa kuzipa agency nyingine kufanya baadhi ya mambo kama marketing/advertising, revenue collection, kuajiri/recruiting, security, catering, cleanliness, stetionary, transport na mambo mengine kadha wa kadha, Bunge letu ndiyo kwanza linajilimbikizia madaraka na mrundikano wa majukumu na utendaji kwa kuanzisha Uendeshaji wa Vituo vya Radio, Television na Tovuti Live a.k.a streaming, badala ya kujikita Kuisimamia Serikali na kutunga Sheria.
Ndungai na Makinda lifanyeni Bunge lijikite kwenye malengo yake makuu. Ziachieni TV station, Radio Station, Blogs, Mitandao ya Kijamii na Streaming channels binafsi na zile za umma zilizopo kuendesha urushaji wa Matangazo ya Bunge Live Kuliko Bunge Kujirundikia majukumu! Hii itafeli lazima. Ninachoweza kuwashauri kama Bunge Boresheni Website yenu tu. suala la urushaji wa Mikutano na kamati za Bunge mngezi Out- source kwa Vituo Vya Tv, Radio, habari na Mawasiliano vilivyopo Tayari. Achaneni mambo ya kujirundikia majukumu. Huu ni uzamani. Msiturudishe enzi za Radio Tanzania Dar Es Salaam, ambazo hata Serikali ilishindwa kuisimamia na Kuunda TBC ambayo ni Semi - outonomous corporation (Yaani inajiendesha yenyewe kibiashara kwa kusimamiwa na serikali) japo Magamba wanaitumia vibaya!!!!!!!!!
 
riporti yake bado haileweleki
inaonekana iliandikwa siku za nyuma kabla hata TBC haijaanzishwa
alichofanya amecopy na kupaste ripoti hiyo na kujifanya ndio ya sasa.
RTD imekufa kitambo leo katibu mzima wa bunge anajifanya ndio ripoti ya sasa,shame on him
 
JAMHURI YA MUUNGANO WATANZANIA

BUNGE LA TANZANIA

__________

TAARIFA MAALUM KUHUSU BUNGE NA KAMATI

______________

Ofisi ya Bunge imepokea kwa masikitiko taarifa kuhusu tafsiri ya kusitisha matangazo ya Shughuli za Bunge na Kamati, kinyumena jinsi ilivyoakisiwa katika mazungumzo ya pamoja kati ya Wanahabari na Katibuwa Bunge.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa, Bunge la Jamhuri ya Muungano halina mpango wa kusitisha matangazo ya Bunge wala Kamati zake, ambazo kwa mahitaji ya sasa nazo zinapaswa kurushwa moja kwa moja kama sehemu ya mpango kabambe wa kuwapasha Wananchi yanayojiri katika Uendeshaji bora wa Shughuli za Bunge.
Dhamira ya Bunge ni kuhakikisha kuwa mpango kabambe uliopo ni kumfikia kila Mtanzania alipo na kwa uwezo alionao aweze kupata na kushiriki katika uendeshaji wa shughuli za Bunge.

Hivyo Mpango mkakati uliopo utakuwakuboresha mawasiliano ya kawaida kupitia Teknolojia ya Mawasiliano TEKNOHAMA, kwa wale watakaokuwa na uwezo wa kupata huduma za mtandao, na tayari tumeanza kurusha live video striping kupitia tovutiya Bunge, na hata wale watakaopenda kujua zaidi, basi wanaweza kupitia majadiliano ya Bunge kwa nyakati tofauti.
Aidha, kwa wale watakaokuwa na uwezo wa kushika mawimbi ya Radio, basi wataweza kufuatilia majadiliano ya Bunge katika Radio ya Bunge inayotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni katika masafa yanayoweza kupatikana nchi nzima, hii ikiwa ni jitihada za ziada kwa kuwa kunaRadio zinazotoa huduma hiyo ya moja kwa moja vizuri hadi sasa, kama vile RTD,BBC, STAR etc. Aidha, kwa wale watakaoweza kuwa na uwezo wa kumudu Luninga, basi Bunge limejipanga kuwapatia huduma hiyo moja kwamoja kupitia katika mtandao wake mpya utakaokuwa ukirushwa masaa 24, baada ya mitambo mipya ya kunakili majadiliano Bungeni na katika Kamati kusimikwa.

Hivyo basi utaratibu uliopo sasa utaendeleakutumika ambapo vituo vyote vya Television vitapewa fursa ya kurusha matangazokwa utashi wao bila kuwekewa mipaka ya aina yoyote sambamba na matangazoyatakayotolewa na mitandao ya Bunge.
Utaratibu huu unatokana na uamzi wapamoja kati ya Bunge na Tume ya Mawasiliano, ambapo vipindi vyote vya Bungevitakuwa vinarushwa bila kudhaminiwa na taasisi yoyote zaidi ya mamlaka tajwajuu ya mawasiliano TCRA. Hivyo basi kwa maelezo hayo ni dhahirikwua Bunge halina mpango wa kusitisha matangazo ya TV wala yale ya Radio auTecknohama, bali linatarajia kuboreshaupatikanaji wa huduma kwa utaratibu ulio rahisi na unaoweza kusimamiwa na pandezote, yaani Bunge na Wananchi.

Aidha, kwa utaratibu uliopo sasa,Bunge halirushi matangazo ya aina yoyote, bali hutoa nakala ya majadiliano hayokwa mtu yeyote atakaye au TV na Radio yoyote kupitia katika mitambo yake. TV zote zinazorusha matangazo ya Bunge hupatafeedtoka katika mitambo ya Bunge, napale wanapoona yafaa basi huomba kutumia mitambo yao na hivyo kutumia fursahiyo kuingiza Camera na Wanahabari ndani ya kambi la Bunge kwa minajirihiyo.

Kuzingatia mabadiliko tajwa, utaratibuhuo umepewa ukomo, ili sasa hapatakuwa na fursa ya kuingiza Camera ndani yaKumbi za Bunge, bali wote watakaotaka kurusha matangazo ya Bunge kwa utashiwao, watapata clear feed toka katikamitambo ya Bunge na hivyo kurusha livevipindi vyote vya Bunge bila kuhaririwa kama ilivyonakiliwa katika makala mbalimbali. Hata hivyo utaratibu huu wa kutumia Camerakatika Kumbi utaendelea katika Kamati za Bunge, hadi hapo mitambo mipya ya mawasilianoitakapofungwa katika Kumbi zote za Kamati.
Hivyo basi, ili kwenda sawia nataratibu hizo, Bunge litaendesha zoezi la kuwatathmini Waandishi wote wa habariza Bunge na kuwasajili kwa vigezo vitakavyoafikiwa kati ya Baraza la Habari,Idara ya Habari na Bunge lenyewe.

Aidha ili kulinda heshima na maadiliya utangazaji, Bunge litatoa utaratibu (Codeof Conducts for Media broadcasting) wa namna ya kunakili na kurushamatangazo ya Bunge bila kujali yanarushwa kwa utaratibu upi. Hili litasaidia kuweka misingi bora yamawasilaino na hivyo kuwapa fursa Wananchi kujua hali halisi ya matukio yotendani ya Bunge na katika Kamati, bila kuegemea upande wowote (Non Partisan).

Hivyo basi, wakati zoezi la maboreshohayo likiendelea, Wananchi watajulishwa kila hatua na matarajio tajwa na kwambatunaendelea kusisitiza tena, Wananchiwasiwe na hofu juu ya taarifa zilizopewa uzito usio stahili za kusitishamatangazo ya Bunge, ambao hazikuwa sahihi na pia hazikuainisha zoezi zima lamaboresho ya upatikanaji na usambazaji wa habari za Bunge.

Tunasikitika kwa usumbufu uliowasibuwote walioakisiwa na taarifa hiyo.

Dr. Thomas D.Kashililah

KATIBUWA BUNGE
Hapa Sijaelewa kuna kitu kinafichwa hapa....yaani TVs na Radio zilizopo hazitoshi mpaka bunge lifikirie kuwa na Tivii yake na redio yake????......Hapa kuna walakini!!!!! Tusome tutafakari hii habari mara mbilimbili.........mimi nilimsikia kabisa katubu wa bunge kwenye TIviii alisema wana mpango wa kutoonyesha directly matangazo ya bunge..na badala yake watarecord na kuyarusha baadae....!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Between line someni vizuri,
1. Marufuku kamera Ukumbini
2. Vituo vyote vitapata matangazo kutoka Bunge Television.
3. Kwahiyo bado watakuwa na uwezo wa kukata matangazo na kutuonyesha wanachotaka wao na sio tunachotaka sisi.

Hapo nimekusoma vizuri, kwa maana hiyo UCHAKACHUAJI unaendelea kama kawaida yao.
 
Natumai hizo nakala za majadiliano zitakuwa hazina uchakachuzi,maana mkizichakachua mtakuwa mmetunyima fursa ya kupata habari na hivyo mtakuwa mmetukosea.
 
Hakuna kitu kinachoitwa RTD hapa Tanzania kwasasa. Kwahiyo,taarifa ya kusitishwa matangazo ilizuliwa na nani? Atasikitikaje aliyeitoa mwanzoni? Sio hivyo jamani...
Na kweli eti huyo ndio katibu wa Bunge hivi kuna radio Star jamani hawa watu wamekosa umakini kabisa
 
JAMHURI YA MUUNGANO WATANZANIA

BUNGE LA TANZANIA

__________

TAARIFA MAALUM KUHUSU BUNGE NA KAMATI

______________

Hivyo Mpango mkakati uliopo utakuwakuboresha mawasiliano ya kawaida kupitia Teknolojia ya Mawasiliano TEKNOHAMA, kwa wale watakaokuwa na uwezo wa kupata huduma za mtandao, na tayari tumeanza kurusha live video striping kupitia tovutiya Bunge, na hata wale watakaopenda kujua zaidi, basi wanaweza kupitia majadiliano ya Bunge kwa nyakati tofauti.
Tunasikitika kwa usumbufu uliowasibuwote walioakisiwa na taarifa hiyo.

Dr. Thomas D.Kashililah

KATIBUWA BUNGE

What is he talking about? video striping?
 
Kweli Watanzania wepesi kudanganyika! Hakuna cha kusherekea hapo ni kwamba mzigo wana ucontrol wao wenyewe na mpaka sasa inaelekea wameshinda.
 
Sasa nimeamini kuwa Dr. Kashililah Aliposema watasitisha kurusha live matangazo ya bunge alikuwa anamaanisha, na hii ni baada ya kusoma huu waraka. Kitendo cha vyombo vya habari kupata matangazo ya bunge kupitia mtandao wa bunge ni mpango wa kutupa taarifa ambazo wao wanataka tupate lakini siyo kila kitu kitakacho kuwa kinaendelea ndani ya bunge. Kwa hiyo sioni sababu ya watu kufurahia huu waraka wa dr kashilila.

Tathmini yako iko vizuri sana. Nami sijaona jipya hapo........ Msimamo wa Kashilila uko palepale(marufuku kuingiza kamera bungeni).
 
Hapa ndo uone nape ni mpumbavu kwa haraka tu anasupport kiitikadi tu bila ya sababu na uzalendo vilivyo vya msingi.
 
Hakika Chadema Inatisha.Tamko la John Mnyika tu la Jana wamesalimu Amri.Ahsanteni sana Chadema.Mungu awabariki kututetea wanyonge.

unazi wako kwa chadema unabore bana. watu tunasherekea ushindi unaletaunazi wako kwenye hii thread, kila kitu chadema. mbona kila mmoja alikuwa anapiga kelele kwa nafasi yake? eti chadema, upuuzi.
 
Back
Top Bottom