LE GAGNANT
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 1,241
- 253
nasubiri jicho la punda cloudz fm (radio ya wafu) jumatatu yule mpuuzi hando atasema kipi, maana napata mashaka na hata uwezo wake wa kushughulikia hata masuala ya ndoa yake (kama ipo). Hawa wafu na radio yao ni vilaza kupita maelezo, sijui hando na pj mmenisikia, (hata kama sio id zenu)[/quote mi namashaka saaana na huyu hando maaan ni m2 wa kushadadia saaana sasa cjui atajizoazoajea hapa!
natamani kuwatukana hawa jamaa wa clouds fm matusi ya nguoni. Yaani wananitia hasira kiasi natamani nikajilipue kwenye kiredio chao wakati wanatangaza iki wote wapotee na kiredio chao kife. Wananiudhi sana.