Bunge lajigeuka: Tutaendelea kurusha 'LIVE' vikao vya Bunge...

Bunge lajigeuka: Tutaendelea kurusha 'LIVE' vikao vya Bunge...

Nasubiri Jicho La Punda Cloudz fm (radio ya WAFU) jumatatu yule mpuuzi Hando atasema kipi, maana napata mashaka na hata uwezo wake wa kushughulikia hata masuala ya ndoa yake (kama ipo). Hawa WAFU na radio yao ni vilaza kupita maelezo, sijui HANDO na PJ mmenisikia, (hata kama sio ID zenu)[/QUOTE mi namashaka saaana na huyu HANDO maaan ni m2 wa kushadadia saaana sasa cjui atajizoazoajea hapa!
 
Last edited by a moderator:
........Watanzania wanapenda viongozi wao wawapeleke mbele ki maendeleo .. sio kuwarudisha nyuma...
Ila watanzania hao hao ndio wanaowachagua watawala au viongozi wasiopenda kuipeleka mbele KIMAENDELEO
 
Ama kweli CCM inajua kuchakachua akili za ma "Dr" wetu. --Yaani tumekusikia wenyewe, leo unadai vyombo vya habari vimetupotosha?. Haya CDM hawakukuelewa, Nape na Mrema je waliokushangilia?
 
Nasubiri Jicho La Punda Cloudz fm (radio ya WAFU) jumatatu yule mpuuzi Hando atasema kipi, maana napata mashaka na hata uwezo wake wa kushughulikia hata masuala ya ndoa yake (kama ipo). Hawa WAFU na radio yao ni vilaza kupita maelezo, sijui HANDO na PJ mmenisikia, (hata kama sio ID zenu)[/QUOTE mi namashaka saaana na huyu HANDO maaan ni m2 wa kushadadia saaana sasa cjui atajizoazoajea hapa!

Clouds nayo ni redio....watangazaji wake wote ni mbulula....onaa lile jamaa linaitwa...Ki..bonde, yeye kila jambo anajua.....!! Pumbavu kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Du, hivi huyu ndiye Dr. Kashilila, katibu wa bunge lenu na taarifa yake. Hivi huyu jamaa anaweweseka na ----- alioueneza ama nini, hebu angalieni kwenye maeneo niliyoweka alama nyekundu (RED) kwenye taarifa yake muone DR wenu alivyo kisha mlinganishe na uendeshaji wa Bunge.

Pia pale penye bluu (BLUE), anasema bila kuegemea popote. Je kilichowafanya mtangaze kusitisha matangazo si ni ili muegee kwa mafisadi zaidi!! Watanzania sio mabwege ki-hivyo.

Inawezekana na habari hii kaitoa kichwani kwake kuangalia upepo,ila Serikali ikumbuke "mficha maradhi kifo humuumbua"
 
Kwa maoni yangu hapo naona vyombo binafsi vya habari vita wekewa speed governor, mtaona tu subirini.

Kweli mkuu, maana haya mambo ya kupata "live feed" hayaeleweki vizuri! Halafu Bunge linapogeuka kuwa Chombo cha Habari kwa kuwa na Redio yake ni tatizo! Hii kazi ya Uandishi wa Habari wangewaachia Waandishi wa Habari wenyewe kwa kuwa ni kazi yao!
 
huko kote ni kuweweseka tu!ili magamba yafike 2015 waombe MUNGU sana maana mtaani hakukaliki...watu wakiamua Tunisia itahamia Bongo...Katibu wa bunge alikua anawasidia magamba kupima upepo akakuta kuna dhoruba na mafuriko.
 
Wanabana weee...halafu wanaachia...

Nimeamini kweli mwaka huu ni mwaka wa NGUVU YA UMMA.....
 
Kibonde atauficha wapi usowake. Alifurahia sana na kushadadia hili jambo sana. Nyambafu sake.
 
Ni tamko linalojenga utaifa...... hongera bunge letu kwa kujali hisia za wananchi.
MAMA POROJO
soma vizuri hii statement, hakuna kitu kilichobadilika kutoka kwa yale Katibu wa Bunge alikuwa anayasema. Watu wanakurupuka kwa hisia badala ya uhalisia.

kazi ya kurusha matangazo kwa sasa itakuwa ni ya bunge na makampuni ya TV kazi yake itakuwa ni kama 'booster' yaani kupokea na kusambaza.
 
Last edited by a moderator:
CCM WATATAGA bila kupenda CDM ITAWAGISHA mpaka MAJOGOO,nafikiri ccm walimnukuu vibaya HUBERT Makala"DARWIN'S NIGHTMARE"
 
.......hivi bandugu,huyu kashilila tukishinikiza apige chini kazi,sisi kama watanzania tutapungukiwa nanini?kwani,hii kauli ya "kunukuliwa vibaya"haijatuchosha tu,nikauli ya dharau si kwa waandishi bali kwa wazalendo wote wakitanzania tuliomwona na kumsikia.
 
these guys are weird..we call this befuddlement:nimekataa:nimekataa
 
Kimsingi hata hilo la waandishi kutoruhusiwa ndani bado lina utata, nina mashaka kuliko matumaini na mipango yao, ila kubwa ni kuwa nguvu ya wananchi ni kubwa kuliko inavyofikiriwa. Kwa jinsi hii ndivyo tunavyopaswa kuacha kukubali kupotezwa kwa kuingizwa katika mijadala na migongano ya kidini, badala yake kuweka nguvu pamoja katika mambo ambayo tunaona dhahiri nchi inapelekwa pabaya. Tukinuia pamoja hakuna kiongozi awezaye kutuzuia. Together for the real change we want.!!!
 
MAMA POROJO

Hebu soma hiki kiduchu cha statement halafu unieleze tofauti na yale Katibu wa bunge alikuwa anayasema.
Kuzingatia mabadiliko tajwa, utaratibuhuo umepewa ukomo, ili sasa hapatakuwa na fursa ya kuingiza Camera ndani yaKumbi za Bunge, bali wote watakaotaka kurusha matangazo ya Bunge kwa utashiwao, watapata clear feed toka katikamitambo ya Bunge na hivyo kurusha livevipindi vyote vya Bunge bila kuhaririwa kama ilivyonakiliwa katika makala mbalimbali. Hata hivyo utaratibu huu wa kutumia Camerakatika Kumbi utaendelea katika Kamati za Bunge, hadi hapo mitambo mipya ya mawasilianoitakapofungwa katika Kumbi zote za Kamati. Hivyo basi, ili kwenda sawia nataratibu hizo, Bunge litaendesha zoezi la kuwatathmini Waandishi wote wa habariza Bunge na kuwasajili kwa vigezo vitakavyoafikiwa kati ya Baraza la Habari,Idara ya Habari na Bunge lenyewe.

Aidha ili kulinda heshima na maadiliya utangazaji, Bunge litatoa utaratibu (Codeof Conducts for Media broadcasting) wa namna ya kunakili na kurushamatangazo ya Bunge bila kujali yanarushwa kwa utaratibu upi. Hili litasaidia kuweka misingi bora yamawasilaino na hivyo kuwapa fursa Wananchi kujua hali halisi ya matukio yotendani ya Bunge na katika Kamati, bila kuegemea upande wowote (Non Partisan).

Matangazo ya vipindi hai vya bunge havitakuwa kama ilivyokuwa. System nzima itabadilika ambapo kutakuwa na BUNGE EDITOR kabla LIVE FEED hawajapewa makampuni mengine ya TV. Makampuni ya TV yatakuwa kama BOOSTER.
 
.....tusipoteze mda kuwajadili hawa wa radio ya wafu,hawana upeo ndomana hawasemi huwa wanaongea tu.
 
Hahahaaaa!yani kasilila kweli wewe kichwa maji kabisa...yani tumekoti vibaya sisi,wewe mwehu nini?na hao wanaccm wenzio kama ----- Nape anaeonekana amezaliwa miaka ya 1759 wakati ni wa miaka 1970..alianza kukoment ujinga wako uliousema,hivi ulifanya makusudi ili uyaumbue mabwege yanayo unga hoja pasipo kupamabanua nini...hahahaaaa Naaaapye uko wapi mwehu wewe...haya na hiyo unga mkono mjinga wewe.
 
Tusubiri kusikia kuwa taarifa hii nayo si sahihi kwani ina makosa mengi ya kiuandishi.
 
Back
Top Bottom