Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 9,415
- 8,873
Kwani hawajui kwamba Tanzania ni nchi huru? Wajadili haki za binadamu Ulaya ndio eneo lao. Wana mengi ya kujadili sio kujiingiza mambo ya nchi zingine.
Vipi mmepaniki?Kwani Tanzania ni koloni la mataifa ya ulaya inaingiliwaje mambo yake ya ndani au sio nchi huru?