funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 38,534
- 31,198
Kifungu 107 B cha Katiba kinazuia mahakama ya Tanzania kuingiliwa na chombo chochote na hivyo kuwa huru kimaamuzi.
Leo hii Lissu akiachiwa wapo watakaojiuliza jee mahakama haijaingiliwa na Azimio la bunge la Ulaya katika kufanya maamuzi??
Wajuzi wa Sheria Pascal Mayalla njooni mjadili