Bunge la Tanzania limepoteza heshima na mvuto kabisa

second9

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
294
Reaction score
628
Wakuu baada ya jana kusikiliza vijana pale bungeni wakijibu hoja za Gwajima nikajikuta natafakari kuhusu bunge kwa muda mfupi na hii ni namna ambayo nimeliona Bunge kwa mtazamo wangu.

Bunge la Tanzania.
  • Ni Bunge la Rais (SSH) sio la wananchi kwani hoja zao kila mara ni za kumsifia rais na kumtetea hata anapokosea wananchi, hakuna namna hata ndogo jamaa wanakuja na hoja za kumrekebisha Rais ... hata Gwajima amefanya press hajataka kutumia kofia ya ubunge.
  • Ni Bunge lenye wabunge wote wakuteuliwa na Rais Magufuli na sio kwa kura za wananchi kwa maana mi ninavyojua waliiba kura hawakushinda kihalali.
  • Ni Bunge ambalo wabunge wake asilimia kubwa hawana elimu ya kutosha na wenye elimu wamekuwa brainwashed hii ndio sababu wakitaka kukosoa wanakuja kuongelea nje ya bunge maana hata hawa wenye uelewa kidogo wanaona ndani ya lile jengo kuna vilaza hawawezi kuelewana.
  • Ni Bunge ambalo wabunge wake wanaweza kutukana wananchi kama vile afanyavyo Rais kwa maana ukimuita mtu kenge ni tusi na ni mfano wa Rais aliyeita watu Mbwa na Lijitu.

Je nikisema lile jengo la Dodoma ni jengo la wezi wa kura, machawa wa rais, makutano ya wateuzi makatili wanaotukana wananchi ntakuwa nakosea ni mtazamo wangu unaweza kuusahihisha.
 
Wewe Magari mmoja tu anakutosha kukujibu uzi wako huu.
20250527_070146.jpg
 
Hawajali waliotekwa na waliouawa
Hawajali kua wamasai walihamishwa makazi na nchi yao wakapewa waarabu

Hawana habari na hata kama bandari imeuzwa na inaufanisi gani

Hawajali kama kuna mapande ya ardhi kubwa yamepewa kwa waarabu

Wao ni matumbo yao na kumsifu samia
 
Bungetumbo
 
Mpk sasa naona muhimili ambao upo ative ni mmoja tu kati ya mitatu, maana hii miwili yote imejiunga na kuwa mmoja, ndio maana hata huu muhimili baada a kuukosoa na kuushauri huu muhimili mwingine umekuwabwa kusifia na kueneza propaganda za kusifia tu(Uchawa)
 
Wakuu baada ya jana kusikiliza vijana pale bungeni wakijibu hoja za Gwajima nikajikuta natafakari kuhusu bunge kwa muda mfupi na hii ni namna ambayo nimeliona Bunge kwa mtazamo wangu.

Bunge la Tanzania.
  • Ni Bunge la Rais (SSH) sio la wananchi kwani hoja zao kila mara ni za kumsifia rais na kumtetea hata anapokosea wananchi, hakuna namna hata ndogo jamaa wanakuja na hoja za kumrekebisha Rais ... hata Gwajima amefanya press hajataka kutumia kofia ya ubunge.
  • Ni Bunge lenye wabunge wote wakuteuliwa na Rais Magufuli na sio kwa kura za wananchi kwa maana mi ninavyojua waliiba kura hawakushinda kihalali.
  • Ni Bunge ambalo wabunge wake asilimia kubwa hawana elimu ya kutosha na wenye elimu wamekuwa brainwashed hii ndio sababu wakitaka kukosoa wanakuja kuongelea nje ya bunge maana hata hawa wenye uelewa kidogo wanaona ndani ya lile jengo kuna vilaza hawawezi kuelewana.
  • Ni Bunge ambalo wabunge wake wanaweza kutukana wananchi kama vile afanyavyo Rais kwa maana ukimuita mtu kenge ni tusi na ni mfano wa Rais aliyeita watu Mbwa na Lijitu.

Je nikisema lile jengo la Dodoma ni jengo la wezi wa kura, machawa wa rais, makutano ya wateuzi makatili wanaotukana wananchi ntakuwa nakosea ni mtazamo wangu unaweza kuusahihisha.
Wabunge wanaamini wapiga kura hawana madhara kwao.Wanaamini Mwenyekiti wa CCM na Polisi ndiyo watawavusha.
Ndiyo maana hawaoni haja ya kuwatetea wananchi.
 
Wakuu baada ya jana kusikiliza vijana pale bungeni wakijibu hoja za Gwajima nikajikuta natafakari kuhusu bunge kwa muda mfupi na hii ni namna ambayo nimeliona Bunge kwa mtazamo wangu.

Bunge la Tanzania.
  • Ni Bunge la Rais (SSH) sio la wananchi kwani hoja zao kila mara ni za kumsifia rais na kumtetea hata anapokosea wananchi, hakuna namna hata ndogo jamaa wanakuja na hoja za kumrekebisha Rais ... hata Gwajima amefanya press hajataka kutumia kofia ya ubunge.
  • Ni Bunge lenye wabunge wote wakuteuliwa na Rais Magufuli na sio kwa kura za wananchi kwa maana mi ninavyojua waliiba kura hawakushinda kihalali.
  • Ni Bunge ambalo wabunge wake asilimia kubwa hawana elimu ya kutosha na wenye elimu wamekuwa brainwashed hii ndio sababu wakitaka kukosoa wanakuja kuongelea nje ya bunge maana hata hawa wenye uelewa kidogo wanaona ndani ya lile jengo kuna vilaza hawawezi kuelewana.
  • Ni Bunge ambalo wabunge wake wanaweza kutukana wananchi kama vile afanyavyo Rais kwa maana ukimuita mtu kenge ni tusi na ni mfano wa Rais aliyeita watu Mbwa na Lijitu.

Je nikisema lile jengo la Dodoma ni jengo la wezi wa kura, machawa wa rais, makutano ya wateuzi makatili wanaotukana wananchi ntakuwa nakosea ni mtazamo wangu unaweza kuusahihisha.

Lile siyobunge, ni ve ge la wahuni.

Fikiria yule mwimba taarabu eti naye ni mbunge.
 
Kwakuwa ni mtazamo wako, sawa.
 
Rubber stamp ya SSH

UNA MBUNGE KAMA MUSUKUMA NA MSAMBWANDAVANGU UNATEGEMEA NINI ?

WABUNGE WAMEKUA WAOGA MNAKUA NA SPEAKER MUOGA MUOGA MLINDA MASLAHI YA MUHIMILI WA EXECUTIVE UNATEGEMEA NINI??
 
Hawajali waliotekwa na waliouawa
Hawajali kua wamasai walihamishwa makazi na nchi yao wakapewa waarabu

Hawana habari na hata kama bandari imeuzwa na inaufanisi gani

Hawajali kama kuna mapande ya ardhi kubwa yamepewa kwa waarabu

Wao ni matumbo yao na kumsifu samia
Kwao hivi sio vipaumbele mkuu, wao wanachowaza kwa sasa ni nafasi zao na mtetezi wa ni Rais ... ili waweze kuendelea kula kodi za wananchi.

Na pia akili zao ni ndogo sana kwenye namna ya kuwa viongozi ndio maana naona kama lile ni jengo tu la vilaza waliokusanywa pamoja ule mwaka wa uchaguzi...
 
Wakuu baada ya jana kusikiliza vijana pale bungeni wakijibu hoja za Gwajima nikajikuta natafakari kuhusu bunge kwa muda mfupi na hii ni namna ambayo nimeliona Bunge kwa mtazamo wangu.

Bunge la Tanzania.
  • Ni Bunge la Rais (SSH) sio la wananchi kwani hoja zao kila mara ni za kumsifia rais na kumtetea hata anapokosea wananchi, hakuna namna hata ndogo jamaa wanakuja na hoja za kumrekebisha Rais ... hata Gwajima amefanya press hajataka kutumia kofia ya ubunge.
  • Ni Bunge lenye wabunge wote wakuteuliwa na Rais Magufuli na sio kwa kura za wananchi kwa maana mi ninavyojua waliiba kura hawakushinda kihalali.
  • Ni Bunge ambalo wabunge wake asilimia kubwa hawana elimu ya kutosha na wenye elimu wamekuwa brainwashed hii ndio sababu wakitaka kukosoa wanakuja kuongelea nje ya bunge maana hata hawa wenye uelewa kidogo wanaona ndani ya lile jengo kuna vilaza hawawezi kuelewana.
  • Ni Bunge ambalo wabunge wake wanaweza kutukana wananchi kama vile afanyavyo Rais kwa maana ukimuita mtu kenge ni tusi na ni mfano wa Rais aliyeita watu Mbwa na Lijitu.

Je nikisema lile jengo la Dodoma ni jengo la wezi wa kura, machawa wa rais, makutano ya wateuzi makatili wanaotukana wananchi ntakuwa nakosea ni mtazamo wangu unaweza kuusahihisha.
Mbona lilikwisha poteza zamani sana, wewe ndiuo unajia leo!
 
Bunge lilikufa pale tu tulipoanza siasa za uchawa na kujikomba kipindi cha bwana yule, na hili la sasa halina maana zaidi ya kukiita kikao cha CCM.

Wanaojiita wabunge ni wanachama na wajumbe wa NEC na wanaoitwa wapinzani ni wale waliopo kwa mgongo wa upinzani ila kiuhalisia ni CCM.
 
Back
Top Bottom