Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,328
- 23,879
Je bajeti yetu itaweza kuondoa kazia kama hizi za mlo mmoja watu kumi?..Maisha bora kwa watanzania bado yataendelea kuwa ndoto za mchana!
Duu..hapo ni mtu dozen...!!! kweli bado..
Je bajeti yetu itaweza kuondoa kazia kama hizi za mlo mmoja watu kumi?..Maisha bora kwa watanzania bado yataendelea kuwa ndoto za mchana!
TBC 1 LIVE Mustafa Mkulo anashusha mistari yenye vina kuhusiana na bajeti 2011 -2012 pata uhondo!
hiyo kitu inasomwa saa ngapi? mi nataka kuona bajeti mbadala itakyosomwa na mh zitto kabwe..
Ahsante Mustafa, babu kubwaaaa, umenikooosha mpaka ndani ya roho.
Upo sahihi Mkuu, nilitaka kushangaa kama leo Mkulo amekiuka utaratibuKawaida budget huwa inasomwa kuanzia saa kumi jioni. Hiyo mistari huenda ikawa ni hali ya uchumi wa nchi na mwelekeo wa budget ya 2011/12 na siyo budget yenyewe.
ndani ya roho ipi,kweli wewe foxyAhsante Mustafa, babu kubwaaaa, umenikooosha mpaka ndani ya roho.
Upo sahihi Mkuu, nilitaka kushangaa kama leo Mkulo amekiuka utaratibu
Huyu mkulo anaakili mgando hana jipya kabisa.
Mkuu hotuba ya budget haijasomwa wewe unasema umekoshwa!! Umekoshwa na nini sasa? Au unayo hotuba ya budget utuwekee hapa tuidurusu?
Ahsante Mustafa, babu kubwaaaa, umenikooosha mpaka ndani ya roho.
Ahsante Mustafa, babu kubwaaaa, umenikooosha mpaka ndani ya roho.