Bunge la bajeti 2011/2012 na yatokanayo

gharama za bima za mzigo kutokana na maharamia na migogoro ya mashariki ya kati ndio sababu za mafuta juu
 
tozo 21 kwenye kila lita ya mafuta anasema serikali inategemea kufuta hizo tozo kupunguza ukali wa maisha mhhhhhhhhhhhh
 
anesema serikali ina mpango wa kukamilisha 100MW DAR NA 60MW MWANZA NA KUIWEZESHA TANESCO KUPATA MIKOPO ILI IWEZE KUJIIMARISHA
 
Mkurabita + sido+ veta zitaaimarishwa ajira kedekede mweeeeeh . Wajisilamali eti hizo ni fursa sasa
 
Anasema watasisitiza na sekta binafsi kufungua milango ya ajira ili kuleta afueni kwa vijana ........
 
Review ya bajet iliyopita. Mafanikio kuongeza kwa ukusanyaj wa mapatao kwa 21%
 
Kufanikisha mikopo kwa wanafunz wa elimu ya juu takrban wanafunz 94 elfu
 
Back
Top Bottom