Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
TBC 1 LIVE Mustafa Mkulo anashusha mistari yenye vina kuhusiana na bajeti 2011 -2012 pata uhondo!
Upuuzi mtupu
TBC 1 LIVE Mustafa Mkulo anashusha mistari yenye vina kuhusiana na bajeti 2011 -2012 pata uhondo!
Imeondoka hewani kwani? Fafanua mkuu.Tbc vipi tena..........................
nilikuwa nawafuatilia via radio wakakata mawasiliano wamerudi nowImeondoka hewani kwani? Fafanua mkuu.
wanasubiri 80000/= +70000/= wanashida gani mkuu .......hasira tu wanatia watu wenye njaaaaaaaaMganga, umeona hiyo, wabunge wa ccm wadada wawili wanadian walikuwa wana chita chat, wanacheka tu huku wanabadilirhana vimemo, yan km class mwalimu anafundisha nyie mnapiga stor za bata la wikiend, aya bwana, wa ndiyo semen ndiyooo..
Tunaomba mlioko huko mtuweke bajeti hiyo hapa. Mkulo akifanya mchezo uchumi Wa Tanzania utaangukia mikononi mwake.
TBC 1 LIVE Mustafa Mkulo anashusha mistari yenye vina kuhusiana na bajeti 2011 -2012 pata uhondo!