LUSAJO L.M.
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 270
- 126
H.R.
Dah kazi ipo...
H.R.
Taarifa hii ya mtoa mada si kweli -- nimemuuliza jamaa yangu mmoja (mwandishi)wa habari aliyeko Dodoma na kusema ameona habari hii katika JF lakini si kweli kabisa.
Mtoa mada atoe source yake.
hahahaaaa! daraja la 3 unahakikishiwa siti eti! ivi huyu naibu waziri alishapanda train daraja la 3 kweli?
we acha tu, halafu kufufua shirika wanatakiwa 63 bil at the same tym wanataka kuwalipa dowans 94 bil, kweli kazi ipo!Anavo ongea sasa,ndo afya au ugonjwa?
maana kama hana pumzi kabisa,mazoezi jamani ohoooo
Hilo mbona lilikuwa wazi tulikuwa tunasubiri muda tu..... sasa bado ya mnyika na yenyewe kuzimwa
mkuu umeniumiza na maneno yako! Hii nchi hii bwana sijui Vipi!?? kusema tuyaache yaende tuu haiwezekani bcs inauma saana!si mnyika pekee........... Tumenyukwa wote na dowans, na tumefulia wote na epa, tumekapwa wote na richmond, tumekwetekwa wote na meremeta, tumesekwa wote na mafisadi, tumepindwa wote na kiwira, tumefanywa makinda wote na buzwagi, tumesitishwa wote na mikataba hatari, tumefungwa makamba wote na aliyeanzisha ishu ya udini, tumelowasika wote na kujilimbikizia mali, tumesisiemishwa wote kuuza loliondo, etc.................etc...............etc
Mleta mada inaonyesha ni either mtumishi wa serikalini au anapata source ndani ya serikali kupitia mtu aliyopo serikali hasa bungeni. Nakumbuka zamani watumishi wa umma walikuwa na maadili ya kutovujisha siri na ilikuwa aghalabu sana kukuta mtumishi wa umma anashabikia upinzani. Zama zimebadilika sasa hivi watumishi wengi wa umma ndio wanaouza siri za serikali na wengi wanatetea sera ambazo ni kinyume na sera wanazopewa wasimamie na ndio maana tunaendela kucheza makidamakida!
we acha tu, halafu kufufua shirika wanatakiwa 63 bil at the same tym wanataka kuwalipa dowans 94 bil, kweli kazi ipo!
mtu anauliza karakana wakati train zenyewe hazitembei