Bunge kuwaka moto, Kambi Rasmi ya Upinzani Kufutwa?

2jipange yani sasa hvi chadema wakiitisha mandamano namimi naenda kuwaunga mkono kwan nataka mabadiliko. Wanpige risasi namimi
 
mnh...............bora umeme ulikatika sikumuona huyu mama mwenye sura ka masudi sura mabaaaya
 
cjui lini tanganyika itapata uhuru halisi kutoka kwa mafisadi wamejiwekea kila sheria zakuwalinda ataikiwabana vp wameiwekea jinsi ya kuitolea ufafanuzi
 
mkuu ulitegemea cuf,nccr,tlp,udp wakae kimya baada ya cdm kuhodhi kilakitu na kuwafunika?

Lakini hili nalo lina ubaya wake .....itawafanya hao cuf,nccr,tlp,udp wasifanye bidii zozote za kufikisha vyama vyao kwa wananchi kwa kutegmea kupendelewa na kanuni za bunge. Chama kama UDP miaka nenda rudi wenyewe wako Bariadi tu.
 
Back
Top Bottom