Bunge kuwaka moto, Kambi Rasmi ya Upinzani Kufutwa?

Jamani mwenye link ya radio au Tv inayoonyesha/tangaza online Bunge atuwekee hapa tafadhali
 
Thanks for the updates wakuu itabidi ninunue karedio niwe nasikiliza bunge kazini...................
 
Bunge limeanza kwa kuapishwa kwa wabunge wapya 6.......hawa ni wale wa viti maalum ambao hawakuapa katk kikao kilichopita
 
once a Traitor always Traitor!
Umeajiriwa kufanya hilo shame on you! Bunge ni chombo cha kuheshimiwa kwa nini wanaajiri wasaliti kama wewe? maadili ya utumishi yako wapi? je kila mtu akitoa taarifa za kazini kwake humu hii itakua forum ya great thinkers kweli? shame on you! najua kuna watu wa aina yako wataanza kuporomosha matusi ila to this is real immoral!

Mkuu wajua maana ya moral na immoral? Au wadhani ni neno tu la kigeni? Wewe ndio uko immoral, kwa kuwa watetea mambo yasiyokubalika na wengi ambao ni jamii.
 
AKIZUNGUMZA NA ITV KATIBU WA BUNGE AMESEMA HAMNA HAJA YA HOJA YA KATIBA KWANI SERIKALI IMEANZA MCHAKATO WA KATIBA

NA KUHUSU DOWANS KASEMA SWALA HILO LIKO MAHAKAMANI NA BUNGE HALIWEZI KULIZUNGUMZIA

moto wa CCM umeanza

Tanzania bira maandamano migomo haiendi
 
RTD 92.3 matangazo yamerudi. Mtemvu anataka Dar iwe mikoa mitatu. Gharama juu ya gharama. Wabunge wetu bwana........
 
Mojawapo ya vitu ambavyo itabidi tuviweke kwenye katiba ni standardize mikoa haya mambo ya rais kuamua kufuta mkoa, kubadilisha mkoa wakati kiasi cha ardhi ni kile kile nao ni ukiritimbwa usio wa lazima; mikoa inagawanya, wilaya zinagawanya, majimbo yanagawanywa basi ni vurugu match!
 
Wenzetu kenye wanaleta Hoja za kujenga fryover sisi hoja za majungu
Serikali imeishatoa tamko kuhusu katiba mpya

Miaka zaidi ya 40,serikali ilikuwa wapi kufanya hayo maendeleo?kwa taarifa yako sasa ni kuwa serikali ya JK siku hizi ndiyo inayoongoza kwa hayo majungu!
 
Siasa za tz bana yan hapo wanagombea izo kamati ili wapate ulaji,yan mpk sasa sijaona mwanasiasa yoyote aliye madarakani kwajili ya kutuondolea mattz yenu na kuleta maendeleo wote wazi na mafisadi tu,hao upinzani wanapiga kelele sbb hawapo ktk receving end ya izo pesa wakichukua nchi mambo yale yale tu


kipi bora kuwapa nafasi nawao tuone watakachotufanyia au kuendelea kuteseka na watu wasiotujali na kuendelea kutuibia kila kukicha.
 
Huyo katibu wa bunge analiamulia bunge lifanye nini?

Ndio maana kuna madai ya katiba mpya. huwezi kuwa na katibu wa bunge anayeteuliwa na Rais, tena Rais ambaye chama chake kinatizama zaidi kibakije madarakani na sio kutatua kero za wananchi
 
Back
Top Bottom