Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

Hahahahaaaaaaaa! Once a person reaches and passes puberty, sex becomes a lifetime practice for him/her until death!

Raha kuandika ukiwa hai,

Ni kama unazungumza kutoka chumba cha kuhifadhia maiti.
 
Aisee. This is beyond any acceptable irrational...if at all there's...what a poor thinking. Hii hatua inapaswa kupingwa kwa nguvu za hoja zote zilizopo, ama itazidi kuugharimu sana huu mhimili, hasa viongozi wake.

Hii haiwezi kuwa namna sahihi ya kuficha udhaifu mkubwa wa serikali bungeni na uzembe wa bunge na wabunge, hasa wale wengi wa CCM!

Dkt. Thomas na wenzako, Watanzania si mabwege tena. Take it or live it, si wajinga tena. Wanajua mnachotaka kuficha. Wanajua mnaficha uchafh chini ya zulia. Nani hajui. Hata watoto wa chekechea wanajua hii move maana yake ni nini!

Naomba kumnukuu Lissu, mchague, ama bunge iwe sehemu ya mijadala ya afya au bunge lisiwepo kabisa, wananchi wajue moja.

Bunge ambalo haliwezi kufanya kazi yake kwa mujibu wa katiba, kisha linaanza kutafuta sababu kama hizi za kupuuzwa, linafunga ushahidi wa uzembe wake na ukibogoyo linaoung'ang'ania kwa faida ya CCM na serikali yake.

Dkt. Thomas, CCM imeshavunjika miguu. Kinachosubiriwa sasa hivi ni ama kuisukuma tu iangike kwa haraka, ama kuishikilia na kuisaidia ianguke polepole, huku wananchi wakiendelea kuumia. Wenye akili hawawezi kuthubutu kuitibu hiyo miguu.

Where do u stand! Ni ama unasimama pamoja na Watanzania wanaotaka kuona haki, matumaini na uwajibikaji kama moja ya misingi muhimu kwa amani na utulivu kisha maendeleo tunayoyatamani, ama unasimama kinyume nao, maana yake unasimama upande wa CCM.

Nani amewadanganya kuwa kutoonesha live vipindi vya bunge ndiyo njia itakayowapatia ushindi kwa kusimama katikati ya udhalimu na ukandamizaji. It is either u stand with the the oppressor (s) or the oppressed. Uamuzi huu unawatambulisha mko upande gani.

You are gone too...
 
Ukilewa madaraka mambo kama haya hayakwepeki!!!
 
Iwapo uamuzi huu utatekelezwa wabunge watakuwa wamejifunga goli wenyewe !
 
Sasa naanza kuamini kuwa Ile kichwa ya jamaa ni kama inavyosemekana ni mafanikio ya operesheni ya mtoto aliyezaliwa bila kichwa. Kwa hiyo mambo kama haya yanapoendelea kutokea bongo wala hainishangazi.
 
chadema ndo chama kilichoweka historia kwa kuitesa CCM mpaka wanaona nchii hii chungu, CCM haijawahi kuwa na hofu kama sasa, hakika mwisho wa ccm unakaribia.
 
Last edited by a moderator:
nahisi huyo katibu ndio amejichanganya sana sasa kama wanavunja kanuni kwa makusudi hii si ndio hukumu kwa wananchi? maana wananchi ndio watajua ukweli kama kweli wamevunja kanuni kamkusudi na dawa yao ni kuwahukumu kwenye kura tu. sasa mkiwaficha wanaokiuka kanuni kwa makusudi sisi wananchi tutajuaje? hii ni danganya toto kabisa wasitufanye sisi wajinga, wangesema tu kuwa serikali inakuwa na kigugumizi pale inapotakiwa kujibu hoja kwa ufasaha, yaani tunarudi tena nyuma zama za zamani jamani? bunge la uingereza ukilitazama vizuri bila kujua kinachoendelea utahisi hawana adabu hata kidogo hata huyo pm cameroon anavyoongea kwenye bunge ni tofauti kabisa na anavyokuwa nje ya bunge full mapovu ila anaongea kwa point, ccm badilikeni jamani.

Habari za kuvunja kanuni ni geresha tu. Hawa wanataka wadhibiti bunge bila kupata shaka ya kadamnasi inawaonaje.

Spika na Naibu wake washashtukia kwamba hata wakiweza kuwanyamazisha wabunge fulani kwa nguvu za kanuni, machoni pa Watanzania wengi wanaonekana kuwa ni wakandamizaji, tena si kwa comedy kama Masanja.

Kwa hiyo wameona suluhisho, ili waweze kuendeleza ubeberu bila kuhukumiwa na wananchi, cha kufanya ni kuondoa live coverage, ili kana kuna sehemu hawataki zionekane waziondoe.

What's next? Watataka makala zote zinazohusu bunge zipitie ofisi ya speaker kuwa checked kama hazina madhara?

Hiki ni kituko kwa jamii yote inayoamini katika uhuru wa vyombo vya habari.

Kama wabunge wanachemka waonyesheni ili tujue wanachemka wapi na vipi, tujue tuendelee kuwachagua au tuwatose.

Mnapoona nyinyi wanachemka wengine tutaona wanatutetea.
 
Wadau naomba kuuliza hivi huyo Kashilila u daktari wake ni wa kusomea au wa kupewa, mbona amechemka sana
 
Baadaye kidogo uhuru pekee ndo gazeti litakalo uzwa mtaani mengine yako mbioni kufungiwa.
 
Ukisikia watu wanatumia yale aliyosema masaburi ndo haya, siamini nadhani aikane hataelimu yake. Ni zaidi ya kutumia ya umasaburi
 
mama yangu natamini kulia laiti ningekuwa na uwezo ningefanya km yule mkuu wa wilaya alivyo wafanyia walimu yani inauma kusikia m2 anajaribu kujenga hoja ya kipuuzi na kuwaambia wananchi inadhihirisha jins walivyo mbumbu. kweli cdm kiboko watabadili sheria kila kukicha ila moto huu hauzim wasahau
 
apelekwe mirembe kupimwa akili nadhani kuna hitilafu.
nadhani ulevi wa madaraka umefyatua akili yake.
tumwombee huyo roho chafu aliemwingia atoke.
 
Mwendelezo wa maanmuzi ya kibabe unaashiria mapinduzi ya kijeshi wananchi wakikataa ccm 2015. Hata hivyo tutaiarika Commoro, drc na Sudan kusini ije kutukomboa na mapinduzi hayo.
 
Baada ya kwenda mbele tunarudi nyuma what silly country is this? 21st century bado unasema tutawaletea recorded and edited events that's shame for our young democracy, I can't believe this is happening.
Je ni lini tutawafikia kama jirani zetu kama kenya ambapo wameweza kufanya live debate for presidential contestants kama bunge tu linakatazwa kurushwa life.
Ha, ha, ha!! , ishia hapo hapo, debate?, nani afanye debate, ataeleza nini, nani anapenda kuaibika?, tena koma ukomae.
 
Ni bora wasitishe tuu. So far sijaona faida ya kurusha vikao vya bunge live.

Ni bora wawe wanajifungia na kofuli kabisa huko mjengoni waendelee kufanya wanayoyafanya.
 
Nimeamini sasa bunge limefanywa kikao cha kamati ya harusi kinachoibuka na upuuzi wowote ndo ukubaliwe..hakika ccm mnajichimbia kaburi.CHADEMA INAWAPA KIWEWE MPAKA MNALETA MAAMUZI YA KITOTO.
 
Back
Top Bottom