Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

tunatoka katika karne ya 21 kuelekea karne ya 20 sasa nadhani soon tutaianza karne ya 19 Mungu akijaalia no wonders but only in TZ.
 
Ndo tuone sasa kama vyombo vya habari vitagomea au la,huu ni ubakaji mkubwa wa habari,kwani vinanyimwa haki ya kufanya kazi yao ya kuripoti,hakutakuwa na uhuru wa habari,habari inakuwa na ladha zaidi inapokuwa live na si recorded
 
Hiyo inadhihirisha namna uongozi wa bunge unavyoibeba CCM. Kuzuia matangazo ya moja kwa moja ya TV ni hatua kurudisha nyuma demokrasia. Wananchi wanataka kuona jinsi wabunge wao wanavyowawakilisha bungeni. Bila shaka CCM wanaona ni maonyesho ambayo wanafanya vibaya. Wabunge wao hua wanasinzia kwa wingi bungeni, hawahudhurii kwa wingi vikao, na hawako makini kuwawakilisha wapiga kura wao kwa kuogoba kuiwajibisha serikali ya chama chao.
 
Ni mikakati ya kuwabana wapinzani kwa manufaa yasiyo ya umma.
 
Kweli ccm wamefilisika! Akili zao ni za mwaka '47!
 
Mwanzoni tulizoe kutoangalia Bunge LIVE

Baadaye tukazoe kuangalia Bunge LIVE

Mwishowe tutazoe kutoangalia Bunge LIVE
 
Hii nchi hii hivi ina viongozi kweli..!?? Hak ya nani There is a need for divine intervention.., khaaa..!!!, kweli sasa hii serikali imechoka kukaa madarakani.. I'm waiting to see it happening...!! dadadeki
 
Hapa ndio ninapomkumbuka Mtikila na kesi za katiba,bila shaka akiamua kwa hili anaweza..asante Chadema kwa kuwafanya CCM waoga na wajinga muda wote.!
 
Tanzania ni zaidi ya uijuavyo, na mengi ya mtindo huu yanakuja. Hakika, pakacha bovu kamwe halizibiki.
 
Ndo tuone sasa kama vyombo vya habari vitagomea au la,huu ni ubakaji mkubwa wa habari,kwani vinanyimwa haki ya kufanya kazi yao ya kuripoti,hakutakuwa na uhuru wa habari,habari inakuwa na ladha zaidi inapokuwa live na si recorded

vyombo vya habari havijakatazwa kuripoti na Wala hajasema Bunge halitaonyeswa kabisa alichosema halitakuwa LIVE tena litakuwa recorded na baadaye kurushwa baada ya kufanyiwa editing kama kutukakuwa na vurugu zitaondolewa kwanza.
 
Ushauri kwa watendaji wa bunge :
Mambo/hoja nzito wasitoe majibu mepesi,kumbukeni hiki ni kizazi kingine si kile cha kila kitu ni ndiyo.mnaweza anzisha utaratibu huo mpya na wabunge wakaendelea kutosema ndiyo km mnavyopenda kuwashinikiza waseme kwa kila kitu hata vile visivyo na masilayi na nchi je mtakuwa mmetatua tatizzo?utabiri naona ngumi ndani ya bunge km utaratibu wenu huo mpya mtaulazimisha
 
Kweli naona wanataka neno litimie. HII NCHI HAITATAWALIKA
 
Mwanzoni tulizoe kutoangalia Bunge LIVE

Baadaye tukazoe kuangalia Bunge LIVE

Mwishowe tutazoe kutoangalia Bunge LIVE

Hahahahaaaaaaaa! Once a person reaches and passes puberty, sex becomes a lifetime practice for him/her until death!
 
tunatoka katika karne ya 21 kuelekea karne ya 20 sasa nadhani soon tutaianza karne ya 19 Mungu akijaalia no wonders but only in TZ.

Tunatoka Analojia kwenda Dijitali kwa wale ambao hawatakuwa na Dijitali hawataona Bunge LIVE
 
CCM inaanza rasmi harakati za kuingia shimoni yenyewe bila kuchimbiwa, nawaandishi pia muwafungie kuripoti.
 
Last edited by a moderator:
Hii ni habari njema kwetu wenye magazeti. Tehe tehe tehe!

Manyerere

Naona katika jitihada za "kudhibiti habari" ndipo bunge litakapojikuta linapalilia upotoshwaji wa habari.

Live video haidanganyi.

Wakikataa live TV coverage, waandishi watahadithia kwa chumvi zozote wanazotaka.

This is a dumb move any way you look at it.
 
Ushauri kwa watendaji wa bunge :
Mambo/hoja nzito wasitoe majibu mepesi,kumbukeni hiki ni kizazi kingine si kile cha kila kitu ni ndiyo.mnaweza anzisha utaratibu huo mpya na wabunge wakaendelea kutosema ndiyo km mnavyopenda kuwashinikiza waseme kwa kila kitu hata vile visivyo na masilayi na nchi je mtakuwa mmetatua tatizzo?utabiri naona ngumi ndani ya bunge km utaratibu wenu huo mpya mtaulazimisha
 
Ndo tuone sasa kama vyombo vya habari vitagomea au la,huu ni ubakaji mkubwa wa habari,kwani vinanyimwa haki ya kufanya kazi yao ya kuripoti,hakutakuwa na uhuru wa habari,habari inakuwa na ladha zaidi inapokuwa live na si recorded

duuu, tunarudi kwenye analog kimzahamzaha!
 
Kuna haja ya wananchi kufikiri njia ya kuwaadabisha. wanaweza wakafunga kweli hawa au mitambo ikawa inakatika anaposimama Lissu.
Mkuu chintu nimecheka kidogo nife, yaani mitambo iwe inakatika anaposimama Lissu tu!! umeniacha hoi.
 
Back
Top Bottom