Bundi wa Yanga SC wa Misimu Minne Iliyopita Amehamia Rasmi Msimbazi

Mihemko ni mibaya sana, mechi moja tena derby mnasema timu hakuna?
Jengeni timu ya ushindani kwanza, msiwe bize na simba mkasahau ubovu wenu
FB_IMG_16326451158139890.jpg
 
Ubingwa wako ni kumfunga simba tu hizo zingine porojo,,, kwani GSM kaingia mwaka gani pale yanga mpaka leo hii useme timu ilikuwa haina hela,,, na huyo bashite kwani ye ndie aliyekuwa anamzuia sarpong asifunge magoli,,, mpira wote tumeangalia na wala yanga si kwamba kacheza mpira wa kutisha hivyo isipokuwa tukubali mpira ni magoli, na yanga waliscore
😂😂😂😂
 
Simba ilitengeneza nafasi nyingi ila ilishindwa kuzitumia, Mugalu hakua na siku nzuri. Yanga walitumia nafasi walioipata na si kingine. Sasa sijui kwanini Yanga wanaona Simba hajacheza chochote
Hii pia unasemaje Bado tu Mungu yupo na Yanga au?
 
Simba SC imesajili wachezaji 11 lakini Sadio Kanoute pekee ndiye mwenye ITC.

Wahenga wanasema ubora ni kheri ya Idadi. Simba iliona ishindane na Yanga SC kwenye kusajili wachezaji wengi ili hali wakasahau kuwa wanapaswa kuendelea na pale walipoishia. Mwisho wa siku wakajipata pale walioishia Yanga SC msimu wa mwaka 2020/21.

Kulikuwa na haja gani kusajili wachezaji wote wale ili hali ni wachezaji wawili tu walio ondoka?

Kulikuwa na haja gani ya kuzingatia idadi kuiko ubora wa kikosi?

Kulikuwa na haja gani ya kununua wachezaji wa bei ndogo ndogo wengi na kuacha kuwekeza pesa kwenye wachezaji wachache kwa gharama hiyo hiyo?

Natambua kuwa viongozi wengi wanadhani kuwa wanaweza kupata wakina chama & miqqie kati ya hawa wengi walio sajiliwa. Je ni mkakati mzuri wa kuhakikisha unaboresha timu na kuwa consistance?

Kati ya wachezaji wote wapya 11 walio sajiliwa. Ni mchezaji mmoja tu (SADIO KANOUTE) ambaye amejihakikishia nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha Simba SC. Hao wengine wote wako sawa na akina' Jadon SANCHO.

Inaonekana wazi kuwa bundi wa Yanga SC wa misimu minne amehamia rasmi Mzimbazi. Maana kuna lundo kubwa sana la wachezaji walio avarage katika kikosi cha Simba msimu huu. Hii changamoto ilitusumbua sana wanajangwani mpaka sasa tumekwisha fikia hatua nzuri ya kuipatia dawa yake.

Sio kazi rahisi kuamini kuwa enzi zimefikia tamati, lakini muda utawasaidi kulitambua hilo.
Yaani ukishavimbiwa mbaazi unaandika chochote kinachokujia. Cha msingi tu unaisema Simba vibaya.
 
Watajua wenyewe na Mwamedi
Kimataifa Utopolo mtacheza mechi 4 na safari yenu ntafika tamati.

Zalan fc mtawafunga, halafu mtakutana na Al Hilal ya Sudan na safari inaishia hapo

Mnarudi bongo kujiita timu kubwa Afrika na mabingwa wa kihistoria.
 
Sawa mjukuu wa sheikh Yahya
 
Haya maandishi yanatuvua nguo watu wa mpira, tunaonekana wapenz wa mpira ni watu wasiokuwa na akili kichwani.
 
Back
Top Bottom