Bundi analia juu ya mpapai wangu

Write your reply...mkuu mega kuna Uzi uliwekwa hapa unaotoa elimu kisayansi juu ya Bundi kupiga kelele alafu mtu kufariki uutafute utakuondolea mashaka.
 
Write your reply...mkuu mega kuna Uzi uliwekwa hapa unaotoa elimu kisayansi juu ya Bundi kupiga kelele alafu mtu kufariki uutafute utakuondolea mashaka.
Asante mkuu woga ulikuwa unanisumbua tu bado napumua
 
Jamani uoga ni asili ya binadamu. Utafiti unaonesha kila binadamu ambaye hajafa ni muoga.

Hapa kwangu yamenikuta, Kuna bundi kavamia, yupo juu ya mpapai analia kwa sauti kama vile anatumia kipaza sauti. Nimemuuliza jirani yangu kwa simu kama hampigii kelele ikiwezekana akamfukuze lakini hajanijibu, nahisi anaogopa. Nimejaribu kuwasiliana na mwenyekiti wa serikali ya mtaa amesema nipambane na hali yangu.

Kuna mwanajeshi anakaa mtaa wa pili kanishauri nimpotezee ikiwezekana niweke head phone ili nisimsikie. Naombeni ushauri
Mkuu upo Dar eeenh!?
 
mi alikuja kwenye paa la nyumba yangu, hiyo sauti yake usiku utadhani jini. Nilitoka nje nikachungulia kwenye paa nakutana na jamaa ananitumbulia macho, nilimtandika jiwe moja hajarudi tena
Ulimtambua huyo jamaa?
 
Jamani bundi ni ndege kama ndege wengine sema tu sisi tunaamini kila kinacho zurula usiku kina mahusiano Na ushirikina ndomana watu wanaogopo popo au milio ya paka dume Na jike wakikutana

#Tubadilike
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom