Bundi analia juu ya mpapai wangu

Bundi analia juu ya mpapai wangu

Elvis Legacy

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2017
Posts
4,408
Reaction score
6,643
Jamani uoga ni asili ya binadamu. Utafiti unaonesha kila binadamu ambaye hajafa ni muoga.

Hapa kwangu yamenikuta, Kuna bundi kavamia, yupo juu ya mpapai analia kwa sauti kama vile anatumia kipaza sauti. Nimemuuliza jirani yangu kwa simu kama hampigii kelele ikiwezekana akamfukuze lakini hajanijibu, nahisi anaogopa. Nimejaribu kuwasiliana na mwenyekiti wa serikali ya mtaa amesema nipambane na hali yangu.

Kuna mwanajeshi anakaa mtaa wa pili kanishauri nimpotezee ikiwezekana niweke head phone ili nisimsikie. Naombeni ushauri

bundi.jpg
 
Ahhaaha yani umesumbua watu wote hao na msaada hujapata.. toka mkuu ukapambane naye.. timua fasta

Kwanini umuogope
 
Mimi enzi hizo home alikuepo bundi kila siku anakuja kulia mbele ya chumba changu kulikua na nyumba imetolewa paa na madirisha.basi kila siku anapanda pale.mpaka leo siamini kama alikua ni bundi tu
 
Back
Top Bottom